Manula naye kumbe boya kama maboya wengine

Kafungwa halafu anachekacheka uwanjani
 
Mimi nilisema. King ngwaba akaniambia nikashabikie rede.
 
Manula atabaki kuwa Tanzania one.
Atabaki kwa sababu ya upumbavu qa Beno Kakolanya.
Sasa ngoma inogile wapo timu moja. Wote mabingwa wakupiga wenzao misumari. Sijui nani atalia hapo.
Hadi msimu uje kuisha, mmoja atakuwa hoi.
 
Kama goli la kwanza alifungwa kizembe sana
Yote kafungwa kizembe tu. La pili ye ndo alimtemea Olunga akapiga ile acrobatic. Why asingetema uende mbali? Nina uhakika ile faulo alioiga Hassan Kessy kipa akapangua ingekua ndo Manula kapigiwa ile Watu wangeanza kati.

Wanamtetea eti aliumia toka mwanzo mashabiki wakampigia kelele.
 
Weka picha ya binti yako wa darasa la tatu ambae angeweza kudaka magoli kama yale...


Cc: mahondaw
 
Mimi ni simba ila Manula sio goalkeper ,Kaseja anamzidi mara 1000
Mashabiki wa yanga mshaanza kujidai ni mashabiki wa simba...ungesema tu kindoki anamzidi mara mia kuliko kutumia nguvu nyingi kuzungukazunguka
 
Inaonekana wewe si mtu wa mpira wa miguu...

La hasha huwa ni mtazamaji tu, si mfuatiliaji kindakindaki...

Yaani inaonesha hufahamu kabisa majukumu ya kipa inapotokea mpira wa adhabu au kona unapihwa kuelekea langoni mwake...
Wewe ndo sio mtu wa mpira na hujui chochote kuhusu mpira...kujipanga ni kazi ya mabeki wenyewe kazi ya kipa ni kuhakikisha kama mabeki wamejipanga kwa usahihi...na kuna tofauti ya kipa kuhakikisha kama mabeki wamejipanga kwa usahihi kwenye mipira ya adhabu karibu na goli or mipira ya kona....mipira ya adhabu ndo kipa inatakiwa akae golini na aangalie kama mpira unaonekana ili awasogeze wachezaji wake vizuri waweze ziba kwa usahihih huku wengine waki mark position na movement za maadui..mipira ya kona mabeki huwa wanajua wakae wapi kipa yeye ni kuwakumbusha wakae kwa usahihi....na mpira ukishapigwa sio kazi ya kipa kuwafundisha tena jinsi ya kuucheza na hapo katika harakati za kuucheza ndipo mabeki wengi hujikuta wamehama katika position nzuri na wakifungwa inaonekana kama hawakujipanga vizuri...sasa wewe ndugu yangu na uhakika hujawahi gusa hata mpira or umezoea tu kuuangalia kwenye tv or ndo wale mnaocheza mpira kwenye play station
 
I just can't blame you JF and football newbie...

A word of advice, pitia profile ya Watu8 na uone kuna thread ngapi zimewekwa na Watu8 zinazohusiana na mpira wa miguu tena wa Tanzania hapa...

 
I just can't blame you JF and football newbie...

A word of advice, pitia profile ya Watu8 na uone kuna thread ngapi zimewekwa na Watu8 zinazohusiana na mpira wa miguu tena wa Tanzania hapa...
Huenda kweli wewe ni muanzisha thread za mpira but hujawahi ucheza so huwezi kuelewa chochote kuhusu mpira...nakama unaujua mpira kweli basi huenda ushabiki wa usimba na yanga unakusumbua so unakutoa kwenye uwezo mzuri wa kuchambua mpira...ukitaja wachezaji top 3 wa tanzania walioonesha uwezo mkubwa kwenye hii michuano huwezi kumuacha manulla though wachezaji wote wa tanzania kwenye hii michuano wamejitahidi sana kwa kiwango cha juu naweza kudiriki kusema makosa yao yote yalikua ni makosa ya kimchezo ambayo ni kawaida katika mpira wa miguu.
 
Comment ilihusu mechi moja against Kenya, na sio mechi nyingine yoyote...

Hayo mengine ya kucheza ama kutokucheza hakuna namna ya kukueleza ukaelewa kwa kuwa hatujuani...
 
Goli la tatu alifungwa kizembe sana kipa unafungwaje near post tena kwa mpira uliopigwa mita 15
 
Kaseja typing.............

Beno typing..............

Metacha typing.............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…