MAGO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,278
- 3,023
kamdondoshea mpira mfungaji mguuni.. kipa ukitoka kupangua cross hakikisha mpira unaenda nje ya boxIle tick tack unasema ya kizembe?
Ule mchomo ulipita kama msumari wa moto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kamdondoshea mpira mfungaji mguuni.. kipa ukitoka kupangua cross hakikisha mpira unaenda nje ya boxIle tick tack unasema ya kizembe?
Ule mchomo ulipita kama msumari wa moto
Atabaki kwa sababu ya upumbavu qa Beno Kakolanya.Manula atabaki kuwa Tanzania one.
Swali zuri SanaNje ya mada kidogo! Kocha anampendea nini Himidi Mao?
Yote kafungwa kizembe tu. La pili ye ndo alimtemea Olunga akapiga ile acrobatic. Why asingetema uende mbali? Nina uhakika ile faulo alioiga Hassan Kessy kipa akapangua ingekua ndo Manula kapigiwa ile Watu wangeanza kati.Kama goli la kwanza alifungwa kizembe sana
Kudumisha Muungano, hata Mudathir hakufaa kuitwa. Na angeendelea angekula umeme tu.Nje ya mada kidogo! Kocha anampendea nini Himidi Mao?
Mashabiki wa yanga mshaanza kujidai ni mashabiki wa simba...ungesema tu kindoki anamzidi mara mia kuliko kutumia nguvu nyingi kuzungukazungukaMimi ni simba ila Manula sio goalkeper ,Kaseja anamzidi mara 1000
Wewe ndo sio mtu wa mpira na hujui chochote kuhusu mpira...kujipanga ni kazi ya mabeki wenyewe kazi ya kipa ni kuhakikisha kama mabeki wamejipanga kwa usahihi...na kuna tofauti ya kipa kuhakikisha kama mabeki wamejipanga kwa usahihi kwenye mipira ya adhabu karibu na goli or mipira ya kona....mipira ya adhabu ndo kipa inatakiwa akae golini na aangalie kama mpira unaonekana ili awasogeze wachezaji wake vizuri waweze ziba kwa usahihih huku wengine waki mark position na movement za maadui..mipira ya kona mabeki huwa wanajua wakae wapi kipa yeye ni kuwakumbusha wakae kwa usahihi....na mpira ukishapigwa sio kazi ya kipa kuwafundisha tena jinsi ya kuucheza na hapo katika harakati za kuucheza ndipo mabeki wengi hujikuta wamehama katika position nzuri na wakifungwa inaonekana kama hawakujipanga vizuri...sasa wewe ndugu yangu na uhakika hujawahi gusa hata mpira or umezoea tu kuuangalia kwenye tv or ndo wale mnaocheza mpira kwenye play stationInaonekana wewe si mtu wa mpira wa miguu...
La hasha huwa ni mtazamaji tu, si mfuatiliaji kindakindaki...
Yaani inaonesha hufahamu kabisa majukumu ya kipa inapotokea mpira wa adhabu au kona unapihwa kuelekea langoni mwake...
Wewe ndo sio mtu wa mpira na hujui chochote kuhusu mpira...kujipanga ni kazi ya mabeki wenyewe kazi ya kipa ni kuhakikisha kama mabeki wamejipanga kwa usahihi...na kuna tofauti ya kipa kuhakikisha kama mabeki wamejipanga kwa usahihi kwenye mipira ya adhabu karibu na goli or mipira ya kona....mipira ya adhabu ndo kipa inatakiwa akae golini na aangalie kama mpira unaonekana ili awasogeze wachezaji wake vizuri waweze ziba kwa usahihih huku wengine waki mark position na movement za maadui..mipira ya kona mabeki huwa wanajua wakae wapi kipa yeye ni kuwakumbusha wakae kwa usahihi....na mpira ukishapigwa sio kazi ya kipa kuwafundisha tena jinsi ya kuucheza na hapo katika harakati za kuucheza ndipo mabeki wengi hujikuta wamehama katika position nzuri na wakifungwa inaonekana kama hawakujipanga vizuri...sasa wewe ndugu yangu na uhakika hujawahi gusa hata mpira or umezoea tu kuuangalia kwenye tv or ndo wale mnaocheza mpira kwenye play station
Huenda kweli wewe ni muanzisha thread za mpira but hujawahi ucheza so huwezi kuelewa chochote kuhusu mpira...nakama unaujua mpira kweli basi huenda ushabiki wa usimba na yanga unakusumbua so unakutoa kwenye uwezo mzuri wa kuchambua mpira...ukitaja wachezaji top 3 wa tanzania walioonesha uwezo mkubwa kwenye hii michuano huwezi kumuacha manulla though wachezaji wote wa tanzania kwenye hii michuano wamejitahidi sana kwa kiwango cha juu naweza kudiriki kusema makosa yao yote yalikua ni makosa ya kimchezo ambayo ni kawaida katika mpira wa miguu.I just can't blame you JF and football newbie...
A word of advice, pitia profile ya Watu8 na uone kuna thread ngapi zimewekwa na Watu8 zinazohusiana na mpira wa miguu tena wa Tanzania hapa...
Huenda kweli wewe ni muanzisha thread za mpira but hujawahi ucheza so huwezi kuelewa chochote kuhusu mpira...nakama unaujua mpira kweli basi huenda ushabiki wa usimba na yanga unakusumbua so unakutoa kwenye uwezo mzuri wa kuchambua mpira...ukitaja wachezaji top 3 wa tanzania walioonesha uwezo mkubwa kwenye hii michuano huwezi kumuacha manulla though wachezaji wote wa tanzania kwenye hii michuano wamejitahidi sana kwa kiwango cha juu naweza kudiriki kusema makosa yao yote yalikua ni makosa ya kimchezo ambayo ni kawaida katika mpira wa miguu.
Goli la tatu alifungwa kizembe sana kipa unafungwaje near post tena kwa mpira uliopigwa mita 15Kwa kweli Manula jana hakuwa katika fomu yake na huweza kumtokea mchezaji yoyote yule. Goli la kwanza na la pili yalikuwa ni magoli ya kumpa sifa kama sio ulaji kwenye timu kubwa iwapo angeyaokoa ukijumlisha na perfomance kwenye mechi ya Senegal ilivyokuwa ya hali ya juu. Goli la tatu watu wanaliangalia kirahisi lakini rudini tena kwenye youtube muangalie jinsi Manula alivyonyoosha mbavu na bado hakuukuta mpira.Ndio maana mara nyingi timu za ulaya hupanda kusajili makipa warefu ili kwa ajili kuokoa michomo kama goli la tatu la jana.
Lakini yote hayo bado haimuondeli Manula kuwa ni kipa bora namba moja kwa Tanzania kwa sasa. Uso kwa uso na washambualiaji hakuna kipa kibongo bongo anayemkuta Manula. Mapungufu ya Manula ni kwenye krosi na kona hasa anapopiga mipira ngumi huwa haiendi mbali nje ya eneo la sita. Mapungufu mengine makubwa ni kutoka na kuacha goli ndio maana wachezaji wanaomjulia huwa wanamtungua kwa magoli ya mbali. Hata hivyo lazima tumpe sifa zake kwani angekuwa kipa wasiwasi siku na Senegal tulifungwa mbili lakini aliokoa clear goals nane na jana tumefungwa tatu lakini alifuta clear goals tatu mkijumlisha hapo mtapata jibu jumla ni goli ngapi tungekuwa tumeshakula mpaka sasa.
Manula leftKaseja typing.............
Beno typing..............
Metacha typing.............