Manunuzi aliexpress posta wameniambia mpaka niwe na slp

Sio lazaima. unaweza ukatumia namba ya simu na mzigo ukifika posta watakupigia simu.
Nimeshatumia njia ya simu sana.

Samahani naomba niulize, hivi aliexpress ushawahi order na wao ukapata mzigo? nilitaka niwatumie lakini nikawa na wasiwasi. TIA
 
Samahani naomba niulize, hivi aliexpress ushawahi order na wao ukapata mzigo? nilitaka niwatumie lakini nikawa na wasiwasi. TIA
Hapana. mimi huwa nanunua sana ebay.
Hata mimi kuna kipindi nilitaka kunua aliexpress lakini niliona dalili za kutapaliwa nikaachana nao.
 
Samahani naomba niulize, hivi aliexpress ushawahi order na wao ukapata mzigo? nilitaka niwatumie lakini nikawa na wasiwasi. TIA

Mimi naorder sana vitu nimepokea vyote kama order 20 tofauti kasoro kimoja kimepotelea njiani (kipindi cha December kuna vurugu sana kwa sababu ya holiday shopping), unaweza ukaweka dispute kama haujapata na hatimaye utarudishiwa hela. Sina uhakika kama unaweza kutumiwa kitu bila SLP.
Nimeagiza kuanzia laptop ya $200 mpaka HDMI cable za $2.

Kuibiwa aliexpress sio rahisi maana hela inashikiliwa na aliexpress wenyewe na hiendi kwa mwuzaji mpaka wote mkubali kuwa kitu kimefika, pia angalia rating ya mwuzaji na review za wanunuzi wengine.
 
Asante

Ngoja sasa na mm nianze kujifurumushia mavifaa kutoka mbele mbele huko
 
Duh yaan mimi nataman nianze kuagz hata Leo lkn kama sijiamini sijui kwanini
 
pengine hajakuelewa ulivyotaja tena ally express akajua huyu afungue tu sanduku la posta awe na box lake asisumbue tena
 
NIMEMAANISHA BADALA YA P.O BOX UNAWEKA NAMBARI YA SIMU. THEN MZIGO UKIFIKA POSTA WANAKUPIGIA.
Mkuu hivi kwa mfano mimi sina sanduku la posta. Kwa mfano naishi Iringa so nitajuaje SLP ya mkoa wangu, au naandika jina la mkoa tu mfn IRINGA, TANZANIA then No. Ya simu... Ni hivyo au ?
 
Mkuu hivi kwa mfano mimi sina sanduku la posta. Kwa mfano naishi Iringa so nitajuaje SLP ya mkoa wangu, au naandika jina la mkoa tu mfn IRINGA, TANZANIA then No. Ya simu... Ni hivyo au ?
Exactly. una
Mkuu hivi kwa mfano mimi sina sanduku la posta. Kwa mfano naishi Iringa so nitajuaje SLP ya mkoa wangu, au naandika jina la mkoa tu mfn IRINGA, TANZANIA then No. Ya simu... Ni hivyo au ?
andika tu P.O box .....Iringa. automatically inakuja Iringa.
 
Mkuu no yako ya sim
 
Nimekwama hapa. Mwenye kuweza kutoa mfano apo nijaze vipi. Hayo ma zip code n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…