[emoji23][emoji23][emoji23]Tigo , Airtel, Halotel wana kulipa mshahara wa laki 4 na nusu kwa mwezi hahahahahha! Hii hela kwa Floyd ata inunulia nini? Au Tissue paper yaku futa kioo cha gari? Sometimes huyu Floyd ana tia hasira basi tu!
Ni kweli.[emoji41] No to slavery in Libya and Africa in general....
There are winners and losers in this big bad world.Hadithi hii inatufundisha nini?
Ndio kauli zenu hizi za kukata tamaaMwisho wa yote haya ni kanafasi kadogo chini ya ardhi chenye urefu wa futi sita kwenda chini. Mungu tupe hekima na busara waja wako.
Ni. Statement isiyo fair in reality sema it is a truthDah hii statement hua naitafakari sana
Nenda kanywe kangara na Chibuku Lofa weee.Ndio kauli zenu hizi za kukata tamaa
nilijua lazima nikutane na kauli kama hii
Ha haa haa lofa ni ww na jamii yakoNenda kanywe kangara na Chibuku Lofa weee.
sio mm kweli?Kafanana na mchaga mmoja hivi namfahamu kwa sura lakini.
Jamaa anatia hasira,yaani dola 150 Floyd si ya kununulia jojoTigo , Airtel, Halotel wana kulipa mshahara wa laki 4 na nusu kwa mwezi hahahahahha! Hii hela kwa Floyd ata inunulia nini? Au Tissue paper yaku futa kioo cha gari? Sometimes huyu Floyd ana tia hasira basi tu!