Manunuzi ya Subaru Forester

Mkuu nifafanulie hii imekaaje anataka kuagiza ya kutembelea hyo Subaru forester je itamgarimu bei gani akishapata huo msamaha
 
So process za kuupata msamaha anaanza kabla hajaagiza ?
As I know ipo hivi...Msamaha wa Kodi unatolewa kwa gari yoyote unayoitaka kwa Mtumishi wa gari, gari hiyo sifa zake kubwa isizidi cc 3000. Gari hilo litakusaidia ww kukuwahisha kazini na mizunguko yako binafsi.
Msamaha wa Kodi unatolwa kwa mara moja kila baad ya miaka 4. Changamoto ni kuwa hilo gari ukiliuza lazima hiyo Kodi uliyosamehewa ilipwe😀😀
Yaani yule uliyemuuzia akienda TRA kubadilisha kadi ya gari/Jina la umiliki lazima akutane na rungu la TRA, sasa kazi kwako maana kumpa mtu zigo nobody wants, otherwise gari inashikiliwa.
Kingine kwenye msamaha wa Kodi unaweza kuapply mapema kabla hata gari haijafika, cha muhimu n kuwa ukishatumiwa zile documents orijino za Gari lazima uziwalishe TRA kwa uhakiki na approvals.
Mifumo ya utoaji wa msamaha wa Kodi kwa sasa ipo online kwa goods and services...Sasa kwa Mtumishi wa umma nafikiri lazima uwe registered huko na check number yako na credentials na ufanye application online, sidhani kama wanapokea tena makabrasha ya fomu.
La mwisho, usiwe mvivu sana, nenda Ofisi yoyote ya TRA iliyo karibu yako watakupa mwongozo sahihi wa namna ya kupata Msamaha wa Kodi kwa gari utakaloagiza.
 
Mkuu shukrani sana kwa haya maelezo
 
Kikubwa aweze kuiagiza mara mbili na awe na ziada ya million 2
 
Kikubwa aweze kuiagiza mara mbili na awe na ziada ya million 2
Hii ziada ya milioni 2 ni ya nini? Msilishane matango pori, toa clarification ya hii fedha... Otherwise clearance zote unazifanya kupitia control number unazopewa we ni kusubiri gari yako tu ifike unaondoka nayo... Hata fedha ya clearance utapewa Account number uingize ambayo haizidi laki 3
 
Hio ni fedha ya emergency, utafanya clearance na itabakia hakuna mtu atakayekula fedha yako. In case ya ucheleweshaji ukitokea ita cover storage fees.
 
Hio ni fedha ya emergency, utafanya clearance na itabakia hakuna mtu atakayekula fedha yako. In case ya ucheleweshaji ukitokea ita cover storage fees.
Kama kwa emergency nakuelewa, maana lazima uwe na ela ya mafuta pia na service ya palepale
 
Msamaha upo ila ni import tax peke yake zingine zote haina msamaha.
 
Kuhusu msamaha wa kodi , aandik barua kwa muajiri wake
Manufacturing year isiwe zaid ya miaka 10
Cc izid 2000
NB:- alez kuw gari.hyo ana lengo la kuitumia ktika kumrahisishia kufika kazn na kutekeleza majukumu ya kiserikali

All the best
Fika TRA kwa msaada zaid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…