Manunuzi ya Subaru Forester

Manunuzi ya Subaru Forester

Habari kiongozi. Hiyo Forester uliyotoka kulipia ushuru 9.9M ni ya mwaka gani? Maana TRA calculator kwa Forester SH5 2010 inaonesha ni 11.7M.

Pia ningependa kujua Ushuru unalipia baada ya documents kufika au hadi gari ikifike?
Forester ni 2009...
Huo ushuru kwenye calculator za TRA huwa zinabadilika kilasiku,ukienda pale TRA na document zako za gari au kama utawatumia agents kama be forward au SBT Japan na wengine watatuma moja Kwa moja details zako tra na wao Watafanya valuation..
Kwahiyo baada ya document zako kuja ndipo inakuwa rahisi kufanyiwa valuation na tra
 
Nimetoka kulipa ushuru juzi tar 24/07/2024 wa Subaru forester XT Kwa kiwango cha Tsh 9,963,499/=
Bado ushuru wa bandarini Tsh 1,200,000/= hii naenda kulipia jumaatatu au jumanne ili nikabidhiwe gari hapa bado BIMA ...

Mwambie huyo jamaa anayeta msamaha wa Kodi eti kwakuwa ni mfanyakazi wa umma ajipange na million 12 baada ya CIF
HII NDIYO TANZANIA
Msamaha upo ila gari haitakiwi kuvuka miaka 10 toka imezalishwa, kwahiyo hiyo ya 2012 hupqlati msamaha, anzia 2014
 
Forester ni 2009...
Huo ushuru kwenye calculator za TRA huwa zinabadilika kilasiku,ukienda pale TRA na document zako za gari au kama utawatumia agents kama be forward au SBT Japan na wengine watatuma moja Kwa moja details zako tra na wao Watafanya valuation..
Kwahiyo baada ya document zako kuja ndipo inakuwa rahisi kufanyiwa valuation na tra
Shukrani mkuu. Nilikuwa nacheki kama miezi miwili iliyopita naona haijawaki kushuka. Mwanzo ilikuwa 11.7M leo naona 11.9M. Documents hata softcopies au ni lazima upate hardcopies i.e original documents?
 
SBT huwa wanatuma document Kwa njia ya mtandao na Wanafanya valuation haina shida
Shukrani mkuu. Nilikuwa nacheki kama miezi miwili iliyopita naona haijawaki kushuka. Mwanzo ilikuwa 11.7M leo naona 11.9M. Documents hata softcopies au ni lazima upate hardcopies i.e original documents?o
 
Habari Wana JF Kuna mtu n mtumishi wa umma anataka kuagiza Subaru forester ya 2012 angependa ajue gharama hadi anaiweka mkononi

Pia angependa kujua akipitia process za kuomba msamaaa wa kodi kama mtumishi wa Umma n shingapi atatumia hadi chuma kinamfikia mkononi
Aandae 40m TZS
 
Hizo chuma zina horsepower kubwa so zinabugia sana wese mkuu....so jiandae
Ila wabongo jamanii ni watu hatari sana alafu maisha ya kutishana tunapenda Sana...Mimi nipo nayo hapa hii wiki ya 2 sijaona ulaji wa Subaru forester XT.
Kuhusu ulaji wa mafuta nakataa ni uongo kwasababu nipo na hiyo gari na nikiweka mafuta ya Tsh 30,000 naenda mjini narudi jioni na natoka nayo siku ya pili Hadi kariakoo na jioni naongezea mafuta ya 15,000 Tu yaani sitaki taa ya mafuta iniwakie

Wabongo tusipende kuogopa maisha kiasi hiki ndiyo maana watanzania tupo nyuma-nyuma tofauti na Kenya ,Uganda na Congo
 
Kumbe watu wanatishana bure tu kuhusu Subie Forester.

Kutoka home kwako hadi mjini/kariakoo ni umbali wa KM ngapi?

-Kaveli-
 
Kutoka CHAMAZI Hadi kariakoo ni km 18.
Alafu haya magari ni namna unavyokanyaga pedal ya mafuta kama ni MTU wa mbio za kifala lazima gari itakula Sana mafuta ila kama utaendesha kama Mzee utatumia mafuta kidogo Sana
 
Cheers mkuu. Kwa foleni za Daslam, hiyo fuel consumption ni fair kabisa na kawaida. Kula maisha mwanetu ndani ya Subie Forester xt.

Fikisha salaam zangu nyingi kwa mhadhiri Nash Emcee hapo Chamazi Bamia. 😎

Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Mkuu kumbe na wewe ni mwenyeji kidogo mitaa yetu hii
 
Back
Top Bottom