PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Forester ni 2009...Habari kiongozi. Hiyo Forester uliyotoka kulipia ushuru 9.9M ni ya mwaka gani? Maana TRA calculator kwa Forester SH5 2010 inaonesha ni 11.7M.
Pia ningependa kujua Ushuru unalipia baada ya documents kufika au hadi gari ikifike?
Huo ushuru kwenye calculator za TRA huwa zinabadilika kilasiku,ukienda pale TRA na document zako za gari au kama utawatumia agents kama be forward au SBT Japan na wengine watatuma moja Kwa moja details zako tra na wao Watafanya valuation..
Kwahiyo baada ya document zako kuja ndipo inakuwa rahisi kufanyiwa valuation na tra