Manyanyaso na chuki kazini zimepelekea kuugua ugonjwa wa figo

Usiwe nice guy ukiwa fala na mtu wa hewala hewala makazini utafanywa mpumbavu aisee
 
Hauhitaji kuwa na roho mbaya ili ujijali, ni swala la kujipa kipaumbele tu kwenye maisha. Achana na hizo fikra za kijinga za kijinga kuwa wanaojijali wana roho mbaya. Huo ni utoto (samahani lakini)

Wewe jua tu kuwa maisha unaishi mwenyewe na hakuna mtu atakayekusaidia kuishi so jipe kipaumbele. Na hii ni tofauti na kuwa mbinafsi.
 
Kuna uhusiano gani wa manyanyaso, chuki na ugonjwa wa figo
 
Fala sana huyo
😬😬😬 How come unakua muoga muoga?
Ila simshangai sana itakuwa shida ilianzia utotoni kwenye malezi yake maana kuna malezi wanapewa baadhi ya watoto ukubwani ndio wanakuja kuteseka kama jamaa hapa
 
Huyu wanamshangaa rangi hiyo.. si unajua watoto
 
Pole kwa uzembe wako na uking'ng'anizi. Alafu inaonekana ujiamini. Hata kutongoza Demu unaogopa unatembea na Dada poa
 
Ila simshangai sana itakuwa shida ilianzia utotoni kwenye malezi yake maana kuna malezi wanapewa baadhi ya watoto ukubwani ndio wanakuja kuteseka kama jamaa hapa
Na mimi kuna muda nilikuwa kama jamaa hivyo hivyo uoga na hofu za kifala ila sasa wananiogopa wenyewe kmme
 
Wanaume mkipitia magumu msikae kimya, lieni machozi...funga mlango Lia mpaka kamasi litoke🤣
Ondoa sumu hizo...

NB: Kikao cha mwisho cha wanawake tulikubaliana tuwape mbinu hii, hatutaki wanaume wetu wafe....
 
Na mimi kuna muda nilikuwa kama jamaa hivyo hivyo uoga na hofu za kifala ila sasa wananiogopa wenyewe kmme
Safi Mkuu, ukiwa na msimamo watu wanaweza wakakuchukia ila lazima watakuheshimu na wakati mwingi kuogopa kuingia 18 zako.
 
PEP imekuletea shida ya figo, haukufuata masharti yake, ni bora kufanya vipimo na mwenza wako kabla ya kutumia PEP, Pili vipimo muda wa kusomwa usizidi dakika 20, ikizidi hapo mistari mingine myembamba lazima ichorwe, ndo mana inashauriwa kwenda kwa wataalamu wa Afya, kupima HIV
 
Mkuu kwani wanakukatia mshara?,achana na tamaa za kijinga unayohangaikia ni priveledge not right, figo hazijafa sababu ya kszi kama wewe ni mlevi na unatumia energy jua ndo zimeua figo
 
Ndio unaishia hivyo mkuu ila hujasema hua unatumia energy drink?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…