Mke nae alikuwa sahihi, Uislamu haulazimishi mke kukaa kwenye ndoa atayokosa furaha Kwa ajili ya wivu....Mwenyezimungu anasema amejaalia kwenye ndoa kuwe na mapenzi na huruma baina ya wanandoa, Kama mke ameona hawezi kumpenda tena mume Kwa kuongeza mke, wangekaa wakajadiliana, ingewezekana wangeachana tu Kwa usalama kila mtu maisha yaendelee.Ni kweli uko sahihi.
Lakini pia, mke hakua sahihi kumkatalia kuongeza mke, japokua kama ulivyosema hatua aliyochukua jamaa ni sio sahihi pia hata kidogo. Angempa talaka tuu.
Hao wakristo woteHiyo Dini ndo inaruhusu umnyonge, Dini inasema ishi nae Kwa wema, ikitokea kuachana muache Kwa wema....Kama alipata inayofinyia Kwa ndani huko nje angempa talaka zake tu, sio kumtanguliza kaburini.
Hakufata mafundisho ya Dini.
Ataolewaje wakati "condemn" wanatengwa sehemu maalumu halafu kila mtu na selo yake, mawazo tele moyoni!Sasa anaenda kuolewa yeye na manyapara
Huyo ni mzima kabisa. Kawapeleka bwawani ili asingizie walikufa maji. Huyu alijua na alipana alichofanya. Sema huku hatanyongwa. Nchi za wenzetu mfungwa wa kosa kama hilo akiingia tu jela wafungwa wenzake wanaye. Hata wiki hamalizi.Itakuwa jamaa alikuwa ana magonjwa ya akili sio kawaida
Bora uoe au uolewe na malaya, atacheat ila jion atarudi, watoto watakula, watasoma, watalala.
Ila ukiolewa na mgonjwa wa akili yani mentally unstable atafanya jambo la hatari mda wowote ndio hao wakupiga risasi wake zao
Na ukioa mgonjwa wa akili anaweza wafanya watoto wako kama mawe, unakuta mwanamke anampiga mwanae kama anampiga mnyama au mti kumbe kamzaa mwenyew
Kwenye uchumba tu ukiona tu dalili zozote za uchizi chizi, hasira za kijinga, sheria za kipumbavu, mipaka isiyo namantiki, bora umwepuke mapema.
Sheria ifuate mkondo wake.
Hapana Condemn hawakai kila mtu chumba chake wanakaa pamoja selo kama wapo 50-70 wanakaa pamoja.Ataolewaje wakati "condemn" wanatengwa sehemu maalumu halafu kila mtu na selo yake, mawazo tele moyoni!
Muda wa kuchanganyika na wafungwa wa kawaida haupo.
Kwa hiyo kuolewa kupo pale pale?😂😂Hapana Condemn hawakai kila mtu chumba chake wanakaa pamoja selo kama wapo 50-70 wanakaa pamoja.
"Wanaye" kwa maana ya kumuwowa, si ndio?Huyo ni mzima kabisa. Kawapeleka bwawani ili asingizie walikufa maji. Huyu alijua na alipana alichofanya. Sema huku hatanyongwa. Nchi za wenzetu mfungwa wa kosa kama hilo akiingia tu jela wafungwa wenzake wanaye. Hata wiki hamalizi.
Exactly!Badala ya kumuua si angempa tu talaka kisha akaoa mwingine. Daah
Haya mahesabu ya nini mkuu?25-9=16
waislam hao,soma majina yao.Hao wakristo wote
Kwani huoni majina yao wakristo wengi manyara kama mbeya angalia majina ya baba zao.waislam hao,soma majina yao.
Umri wa mke na mtoto wa kwanzaHaya mahesabu ya nini mkuu?
Wewe unasema wakristo kwa kigezo gani??Kwani huoni majina yao wakristo wengi manyara kama mbeya angalia majina ya baba zao.
Wewe unasema wakristo kwa kigezo gani??