Manyara: Ajinyonga baada ya kuachwa na mkewe

Manyara: Ajinyonga baada ya kuachwa na mkewe

Ushauri baada ya kuachwa.
--1.. Ulimkuta mwanamke akiwa bikira zote 2?.
--2.. kabla ya kuwa na yeye ulikuwa unaishije?
--3..kwani mapenzi au kupendwa ni lazima?

Ukishapata majibu ya haya fanya maamuzi...

Mtajiua bure kwa upumbavu na ulimbukeni wa mapenzi.
 
Mkazi wa Kijii cha Ng’wandakw, Kata ya Haydom Wilayani Mbulu Mkoani Manyara, Philemon Tandu (50) amefariki dunia kwa kujinyonga baada ya kuachwa na mke wake akiwa na watoto watano.

Kamanda wa polisi wa mkoa wa Manyara, kamishna msaidizi (ACP) Marrison Mwakyoma akizungumza jana alisema tukio hilo lilitokea juzi kwenye kijiji
Mapenzi matam
 
Alazwe pema peponi kamanda....
Hata kama wewe ungekuwa na pepo yako, ungemtia peponi mpumbavu kama huyu..

Haya kajinyonga, ndio kaondoka na mbususu ya mwezie au!? (kusema kamkomoa hatom..Bwi tena)

Sana sana kawaachia majonzi watoto na watu wengine waliokuwa wanamtegemea.
 
Back
Top Bottom