Manyara: Ajinyonga baada ya kuachwa na mkewe

Manyara: Ajinyonga baada ya kuachwa na mkewe

Kanda ya kaskazini vituko kama kawa, ukiona kifo bac chanzo ni mapenzi n.k
 
Hata kama wewe ungekuwa na pepo yako, ungemtia peponi mpumbavu kama huyu..

Haya kajinyonga, ndio kaondoka na mbususu ya mwezie au!? (kusema kamkoa hatom..Bwi tena)

Sana sana kawaachia majonzi watoto na watu wengine waliomuwa wanamtegemea.
Wanazani pepo ni kama unaingia nyumbani kwako 🤣
 
Maisha ya ndoa
1. Sio pesa tuu
2. Hakikisha una muda na mwenza wako
3. Hakikisha una muda na watoto
4. Uwe na muda wako wa kujitafakari endapo lolote litatokea

Maisha ya ndoa is just no 1 as foundation, remove 1 and do all the other 2, 3 and 4 ndoa Ina kata!

Leave all and maintain 1, ndoa itasimama; and ukiwa na all 2, 3 and 4 huwezi kuwa na pesa!

Therefore: ndoa is undefined entity!
 
Hata kama wewe ungekuwa na pepo yako, ungemtia peponi mpumbavu kama huyu..

Haya kajinyonga, ndio kaondoka na mbususu ya mwezie au!? (kusema kamkomoa hatom..Bwi tena)

Sana sana kawaachia majonzi watoto na watu wengine waliokuwa wanamtegemea.
Marehemu ameteswa sana na mapenzi, apumzike peponi tu....
 
..pesa sio funguo za maisha, unaweza kuwa na pesa lakini ukakosa furaha, kwakuwa hakuna anayekuthamini na pesa zako, bali utathaminiwa kwa uhusiano wako kwao unaopelekea wao kuzionja hizo pesa zako. Hivyo utajikuta unahitaji socialization ili mfurahie pamoja hizo pesa ulizonazo kwa kuwafanyisha kazi au kuhepi nao. Na kutokana na uhusiano huo ndipo maudhi yatakapokukuta na kufikiria yaliyomkuta 'Ntandu'.
 
Tandu angejua ya kuwa "nzi akiacha ujinga anaweza kutengeneza asali" hata asinge ufikia uamuzi huo. Hivi kumbe kujiua ni suluhu ya kupunguza machungu ya kuachwa.....!!!!? Ukweli ni huu: Kaona malezi ya familia yanamshinda anazugia kaachwa!!!! Hajui kuna maisha baada ya kifo? Angesoma "Luka 16:22-24". Shame on him!!!!
 
Sijui ni bangi nimesoma haraka hataka nikaona Manara ajinyonga....hee nikasema yamekuwa hayo tena😮
 
Back
Top Bottom