Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
إنا لله وإنا إليه راجعون
Allah awajaalie qauli thabiti ndugu zetu
Allah awajaalie qauli thabiti ndugu zetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha tu mkuu!Roho za marehemu zipumzike salama.
Ukitoka kwako na kurudi salama ni jambo kumshukuru mungu
Nakazia hapa, unaweza ukawa umezingatia lakini mistake from another side ikakugharimu piaUnaweza ukawa makini lakini mzembe mwingine akakuua
Roho mtakatifu ndio nani chief? 🤔Ni muujiza ambao hata wewe mwenyewe huhitaji kumshukuru Mungu kwa sababu shukrani zako haziwezi kulingana hata na chembe ya kile ambacho Mungu amekufanyia. Badala ya kumshukuru Mungu, unatakiwa umuombe Roho Mtakatifu akusaidie kutoa shukrani zilizo sahihi kwa Mungu. Usimshukuru Mungu wewe, mwambie Roho Mtakatifu akusaidie kutoa hizo shukrani
Acha tu mkuu!
Leo Dar pale makutano ya mitaa ya Msimbazi na Swahili kwenye taa zile amepigwa bodaboda na mwendokasi on the spot akakata moto,yaani kama masihara mtu jina limegeuka.
Hii dunia tuishi tukiijua dk moja mbele siyo yetu.
Yaani unajua mkuu zipo situations kama dereva unaweza kuepusha kifo cha mvunja sheria kwa kuwajibika kwa kosa lake madhali halikuletei matatizo ila hawa mwendokasi wanafanya makusudi kabisa.Wenye boda na magari wanavunja sheria, wanatakia nini kupita njia za mwendo kasi!!
Yaani unajua mkuu zipo situations kama dereva unaweza kuepusha kifo cha mvunja sheria kwa kuwajibika kwa kosa lake madhali halikuletei matatizo ila hawa mwendokasi wanafanya makusudi kabisa.
Imagine kumuongezea mtu aliyekosea speed huku ukijua kwa vyovyote huyu kwa tons hizi hatopumua tena,kama ajali ya leo boda alikuwa anavuka taa kutoka upande wa kushoto wa bus amepigwa na gari upande wa kulia it means alikuwa a-survive kama driver angeminya kidogo brake ila akaongeza mwendo kwenda kumuuwa.
Roho mtakatifu hayupo. Aliyepo ni Roho Mtakatifu (RM)Roho mtakatifu ndio nani chief? 🤔
Mkuu ulikuwa ndani ya bus ukishuhudia dereva wa bus akiongeza mwendo ili kumuua bodaboda?Yaani unajua mkuu zipo situations kama dereva unaweza kuepusha kifo cha mvunja sheria kwa kuwajibika kwa kosa lake madhali halikuletei matatizo ila hawa mwendokasi wanafanya makusudi kabisa.
Imagine kumuongezea mtu aliyekosea speed huku ukijua kabisa kwa vyovyote huyu kwa tons hizi hatopumua tena,kama ajali ya leo boda alikuwa anavuka taa kutoka upande wa kushoto wa bus amepigwa na gari upande wa kulia it means alikuwa a-survive kama driver angeminya kidogo brake ila akaongeza mwendo kwenda kumuuwa,wakati mwengine ni baba wa familia anauwawa kizembe eti kwa sababu kaingia mwendokasi huyo aliyemuuwa atajisikiaje afike nyumbani kwake wanae wampokee kwa bashasha huku wapo wa mwenzake aliyemuua kuanzia leo wataishi chini ya milo mitatu!
Inasikitisha sana!
Blame game hii...usitegemee mtu akuokoe kwa uzembe wako.Kuna madereva wengine wanafanya makusudi mkuu,, chukulia mfano mtu anaovateki kumbe kuna gari linakuja na kuingia saiti yake hawezi, anaeovatekiwa nae hapunguzi mwendo ili mwenzie aovateki mpaka anabamizwa.
Blame game hii...usitegemee mtu akuokoe kwa uzembe wako.
Ndio nani?Roho mtakatifu hayupo. Aliyepo ni Roho Mtakatifu (RM)
Hujui na yeye ana situation gani. Sasa aingie porini kisa uzembe wako wa kuovateki bila kuangalia? Nishapisha nyumbu kibao kwenye hio situation hasa wanaoendesha IST sababu kubwa gari hazina nguvu ya kutosha kuovateki malori umbali mfupi.So, kwanini anaeovatekiwa asimuachie mwenzie apite? Yani unawaona kabisa wanakutana face to face unategemea nani atapona hapo!! Kuna mijitu ina roho ya kikatili sijapata kuona.
Ni Roho Mtakatifu. Nafsi ya tatu ya Mungu; Mungu ana nafsi tatu, binadamu ana nafsi moja; it's natural, you cannot questionNdio nani?
Innalillah wainaillaih rajiunDereva Omar tumetoka kumzika sahivi 10:00 Babati maisha ni mafupi jana asubuhi katoka Arusha leo sahiv tumemzika dah Polen majeruhi wote