Manyara: Basi la Mohammed Classic lapata ajali na kusababisha vifo vya watu wanne na majeruhi 26

Mzee si tulikuwa tunaongea kiswahili, sasa hiki kiingereza kinatokea wapi!!? Halafu unaniongeleshaje KIDHUNGU wakati hukunilipia ada ya shule.😂
 
hizi ajali za mabasi zitaisha lini ?? Imeshindikana kudhibiti ?????
 
Mkuu ulikuwa ndani ya bus ukishuhudia dereva wa bus akiongeza mwendo ili kumuua bodaboda?
No ofisi yangu ilipo ni hapo hapo Msimbazi so kabla hajamgonga alimpigia horn kali sisi tuliokuwa karibu tukawa interested kuangalia kuna nini ndo kukuta jamaa yupo speed zaidi ya 80kPh huku victim akiwa mita chache mbele yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…