Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
Huyo Mama kisirani sana hata km shimo la choo ni self bora nikakojoe nje tena porini kuna hewa safi na kaubaridi.Ukiendekeza ngono na kuona hilo tu ndio jambo muhimu sana kuliko mengine lazima yakukute makubwa siku moja.mkojo shida yake utoke tu,kama shimo lipo ndani huko nje tunatafutaga nini wanaume wenzangu.??
sijaona hapo kosa hiyo Mama aombe talaka apewe chake km huyo Bw na kimada wake watamfuata
