Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona anataka kuzikwa labdaKwanini mke asiende Mahakamani kuomba talaka na mgawanyo wa machumo? Kuendelea kubaki kwenye ndoa ya aina hiyo(kama alichosema mke ni kweli) ni kutafuta makubwa zaidi.
Ndoa ya kikristo hakuna kuachana watulie hivyohivyo hadi mmoja afe humo ndaniKwanini mke asiende Mahakamani kuomba talaka na mgawanyo wa machumo? Kuendelea kubaki kwenye ndoa ya aina hiyo(kama alichosema mke ni kweli) ni kutafuta makubwa zaidi.
Allah alipoweka talaka alikuwa na maana yake si kitu kizuri ila kuna hatua ikifika inakuwa hakuna namna lazma muachane kwa usalama wenu na kuna hadithi mtume anasema talaka ni halali japo Allah haipendi elewa vizuri hapo ni halali ila Allah haipendiHalafu utakuta mtu anafanya dhambi nyingine nyingi tu ikifika ya kuachana ili aepushe uhai wake anadai kusubiria mpaka kifo kiwatenganishe,kama unasubiria kifo kiwatenganishe tulia usiwe mkali kugombania hizo mali,kwani hapo ndipo panapotokea matatizo ya kuambulia vipigo,tumeumbwa na akili timamu,ndoa hiyo kwa hapo ilipofikia inaonekana kabisa ni mahali pa hatari kwa upande wake, lakini bado unang'angania na kulalamika...
Hata sisi wakristo mkuu,Mungu anasema anachukia kuachana,ni udhaifu wetu wa imani ndio unatufanya tutafute njia nyepesi ya kujiepusha na madhara,ndio tunafikia uamuzi wa kuachana otherwise kama ukisimama imara katika kumtumaini Mungu there is always a way out...Allah alipoweka talaka alikuwa na maana yake si kitu kizuri ila kuna hatua ikifika inakuwa hakuna namna lazma muachane kwa usalama wenu na kuna hadithi mtume anasema talaka ni halali japo Allah haipendi elewa vizuri hapo ni halali ila Allah haipendi
Kwanini mke asiende Mahakamani kuomba talaka na mgawanyo wa machumo? Kuendelea kubaki kwenye ndoa ya aina hiyo(kama alichosema mke ni kweli) ni kutafuta makubwa zaidi.
Kwanini mke asiende Mahakamani kuomba talaka na mgawanyo wa machumo? Kuendelea kubaki kwenye ndoa ya aina hiyo(kama alichosema mke ni kweli) ni kutafuta makubwa zaidi.
Yupo wapi mkuu wa wilaya wa zamani wa GEITA BWANA OMARI MANZIE MANGOCHI? DC mpumbavu sana yule alikuwa anaenda bar kulewa Afu anataka wahudumu wote wewe mali yake????DC kazingua
Ha ha ha ha mambo ya exaggeration hayo.Maelezo ya kupigwa mlima! majeraha nukta.
Nina uhakika Hii ishu ni pana zaidi ya hichi kilichoripotiwa.Dc mstaafu amshushia kipigo mkewe,amtishia kumtandika bastola.
Philomena Toima ambaye ni mke wa mkuu wa wilaya mstaafu wa wilaya mbalimbali nchini,Peter Toima amelazwa katika kituo cha afya cha Simanjiro kufuatia kipigo cha mmewe akiuguza majeraha mbalimbali mwilini mwake...
Ni mshambaHuyu jamaa boya. Anashindwaje kuheshimu mke wake hata kama ana mchepuko?
We acha ulofa, hayo mambo ya kifamilia tu, unayaweka hapa kwa faida ya nani? Au we ndio umepigwa? Kwendaaaaa!Dc mstaafu amshushia kipigo mkewe,amtishia kumtandika bastola.
Philomena Toima ambaye ni mke wa mkuu wa wilaya mstaafu wa wilaya mbalimbali nchini,Peter Toima amelazwa katika kituo cha afya cha Simanjiro kufuatia kipigo cha mmewe akiuguza majeraha mbalimbali mwilini mwake....