Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Maeneo mengi ya huko wanapenda kutaka kuhalalisha mchepuko ndio shida inapoanzia hapo harafu wengi ni malimbukeni wa pisi yupo radhi kuua kwa ajili ya mchepuko maana wanaingia miguu yote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiukweli, ndoa imefika katika kuvunjwa tu kisheria. Kuvumilia ni kujitakia makubwa na ya kutisha zaidi. Awahi akiwa mwenye akili timamu na mwenye nguvu. Mateso hayazoeleki!Halafu utakuta mtu anafanya dhambi nyingine nyingi tu ikifika ya kuachana ili aepushe uhai wake anadai kusubiria mpaka kifo kiwatenganishe,kama unasubiria kifo kiwatenganishe tulia usiwe mkali kugombania hizo mali,kwani hapo ndipo panapotokea matatizo ya kuambulia vipigo,tumeumbwa na akili timamu,ndoa hiyo kwa hapo ilipofikia inaonekana kabisa ni mahali pa hatari kwa upande wake, lakini bado unang'angania na kulalamika...
Wanaumia kiaje?Yaani nikisikia na kuona jitu zima linafanya ujinga huu huwa akasirika sana! Sasa umri wote huo unakimbizana na michepuko vibinti si utatelekeza ndoa wewe? Mbona mama wa ndoa anaonekana yuko poa sana! Nami sasa nahangaika na li kijana linataka kuvuruga ndoa ya lenyewe kisa mamake analijaza ujinga! Limeshindwa kuelewa wamama huwa wanaumia sana vijana wao wakioa!!
Sijaona tag ngoja nifuatilie mtaniJana nilikutag wadau wanamuulizia
Inaelekea dc mstaafu hamtaki lakini huyo mwanamke bado kinganganizi,anatafuta balaa zaidi tuhuyu mwanamke anachong'ang'ania nini....kifo au kilema????
huyu DC ametukosea WANAUME kabisa........moja ya kanuni kuu ya kuchepuka.....ni....mchepuko kumuheshimu MKE MKUU....,, nje ya hapo hata huagwi.....
Huwa wanaumia kwa sababu huwa wanajua sasa visenti walivyozoea vinaenda kukata! Ndiyo maana unakuta visa vingi wamama wengi huwa hawapatani na wakwe zao! Yaani huyu mwamba kila mtu anamshangaa jinsi alivyo hamnazo!!Wanaumia kiaje?
Mbona wao pia wameolewa? Hiyo kijana naye ni hamnazo tu.. ... Nyoosha hiyo mamaake kwanza@!
Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app