Manyara: DC mstaafu amshushia kipigo mkewe, nyumba ndogo yatajwa kuwa chanzo

Manyara: DC mstaafu amshushia kipigo mkewe, nyumba ndogo yatajwa kuwa chanzo

Mie hata hati za nyumba zangu zinasoma majina yangu! sitaki upuuzi mie!

🤣🤣🤣! Ww lazima uw hvyo..si wa kulee! Mm bado niko darasani!somo linaingia na kutoka!wanawake tuna safari ndefu sana!.najifunza roho mbaya haya siwez..sijui y!
 
Alafu utakuta huyo jamaa ni shabiki mkubwa wa chadema
 
Nimemuonea huruma huyo mbibi jamani

Kupigwa na 60 yrs ila wanaume mmh
 
Mleta Uzi huko vizuri, ulijipanga hasaa...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni upuuzi kumpiga mke au kumsaliti alafu akajua na bado ukaendelea
 
Kwani tatizo nini hasa? Kipigo? Jamaa kuwa na mke mwingine? Taasisi ya familia? Matumizi makubwa ya kampuni? Wivu wa kimapenzi?
 
Na ww mama kubwa mnafungua kampuni kwan ww ulishindwa kuwa finance manager🤣🤣!asee(in nyaki voice)
Tatizo hana elimu na kule Dodoma HQ breki P mzee lazima atafute mnato
 
Back
Top Bottom