Manyara: Mama aua watoto 3 kwa kuwalisha sumu kutokana na ugomvi wa kifamilia na mume wake

Manyara: Mama aua watoto 3 kwa kuwalisha sumu kutokana na ugomvi wa kifamilia na mume wake

Ila wakina mama Kuna muda wanafanya vitu vya kipumbavu kisa mahusiano
 
Kaolewa mdogo sana, kabla ya kumuhukumu kweli wangechunguza kwa makini maisha aliyokua anaishi na mumewe.
Ukute alikua anapitia mateso na manyanyaso hadi ikapelekea uamuzi huo
Lazima apate haki yake hiyo sio sababu
 
Maumivu ninayoyapata sasa hivi ni mazito mnooo..siwezi kuyaelezea🥺🥺🥺😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭.wamekosa nini malaika wa Mungu jamani..ni simanzi
 
Mungu atusaidie sana akina mama
Yaani tunahitaji msaada wa Mungu kwa kweli maana haingii akilini hasira juu ya Mme ndo zimfanye awaue watoto wake! Ila hawa wanaume nyakati zingine wana maudhi lakini si ya kunifanya niue watoto. Wapumzike kwa amani Malaika wa Mungu wasio na dhambi, inauma mno
 
Hakuna hasira ya kumfanya mwanamke kudhuru watoto, siamini kama inawezekana jamani, unajua sisi wanawake tukishakua na watoto all our heart, mind, soul and everything inahamia kwa watoto na hata muda wa kuspend na mume unapungua kwa sababu mtoto anachukua nafasi kubwa sana kwetu, nashangaa ujasiri wa kuua anapata wapi

Sanasana mimi ukiniudhi in a way kwamba hatuwezi kureconcile ni bora kuondoka na watoto nikakuacha lakini i will never let enything happen to my kids while i am alive
 
Maumivu ninayoyapata sasa hivi ni mazito mnooo..siwezi kuyaelezea🥺🥺🥺😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭.wamekosa nini malaika wa Mungu jamani..ni simanzi
Hibi chakorii ndo picha gani hiyo sasa jamani
 
Back
Top Bottom