Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
MANYARA TAYARI KUPOKEA WANAFUNZI KUTOKA PANDE ZOTE ZA NCHI
Nimewaelekeza viongozi husika kuzingatia utoaji wa huduma katika sekta hii ya elimu kwa kuzingatia ubora, maadili, taratibu, miongozo na sheria hasa katika shule hii mpya ya wasichana ya Mkoa Manyara.
"wazazi wote ambao watoto wenu wamepangiwa shule ya mkoa wa manyara, manyara tupo tayari na tunawakaribisha"
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi makini wa Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ipo kazini na kazi zinaonekana kwa macho.
Manyara tunakushukuru Mh Rais👏🏼
Uwajibikaji rafiki wa maendeleo 🇹🇿