Manyara: Vingozi wa CHADEMA wakamatwa kwa kufanya Mkutano Stendi, Wakiri kosa

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara linawashikila Viongozi watatu wa CHADEMA kwa kosa la kufanya mkutano bila kibali katika eneo la Stendi ya Katesh wilayani Hanang.

Viongozi wanaoshikiliwa ni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake (BAWACHA) mkoa wa Manyara Regula Mtei (45), Valentina Shayo (37) Mhasibu wa Bawacha mkoa wa Manyara na mjumbe wa Kamati tendaji BAWACHA wakifanya mkutano wa hadhara bila kibali.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara Benjamin Kuzaga katika taarifa hiyo ya Januari 19.2022, imeeleza kuwa viongozi hao walifanya kosa hilo Januari 15 mwak huumajira ya saa tisa alasiri wilayani humo.

Taarifa hiyo iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii imeeleza kuwa baada yaviongozi hao kukamatwa na kufikishwa kituoni walihojiwa na kukiri kosa lao na kwamba 17.1.2022 walifikishwa mahakamani.
rpc.jpg
 
Ingekuwa mimi ni RPC mambo kama haya nisingekuwa naita waandishi wa habari kuongea nao. Inawezekana ni daraja kufikia vyeo vya juu ila ningekuwa siiti press yoyote. Hii ni kwa sababu duniani kuna kesho, na hatujui kesho yetu
 
Chadema kweli ni chama cha wachaga hebu angalia Manyara viongozi wa Chadema waliokamatwa na Mtei na Shayo viongozi wa Chadema Manyara aiseee

Yaani hadi Manyara viongozi wa Chadema wachaga
 
View attachment 2091424
RPC haoni hata aibu kuita wanahabari,
Tutafika mbinguni tukiwa tumechoka sana.
 
Ingekuwa mimi ni RPC mambo kama haya nisingekuwa naita waandishi wa habari kuongea nao. Inawezekana ni daraja kufikia vyeo vya juu ila ningekuwa siiti press yoyote. Hii ni kwa sababu duniani kuna kesho, na hatujui kesho yetu
Watu wanatafuta teuzi kwa lazima.
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara linawashikila Viongozi watatu wa CHADEMA kwa kosa la kufanya mkutano bila kibali katika eneo la Stendi ya Katesh wilayani Hanang.

Viongozi wanaoshikiliwa ni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake (BAWACHA) mkoa wa Manyara Regula Mtei (45), Valentina Shayo (37) Mhasibu wa Bawacha mkoa wa Manyara na mjumbe wa Kamati tendaji BAWACHA wakifanya mkutano wa hadhara bila kibali.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara Benjamin Kuzaga katika taarifa hiyo ya Januari 19.2022, imeeleza kuwa viongozi hao walifanya kosa hilo Januari 15 mwak huumajira ya saa tisa alasiri wilayani humo.

Taarifa hiyo iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii imeeleza kuwa baada yaviongozi hao kukamatwa na kufikishwa kituoni walihojiwa na kukiri kosa lao na kwamba 17.1.2022 walifikishwa mahakamani.
View attachment 2091424
Alafu wapo wanasema Taifa litasonga KWa kasi katika Mazingira Kama haya, waongo tu

Mkoloni alinyosha mikono KWa kutumia utaratibu Kama huu, na bado aliondoka, katika jamii Kuna watu , Kwamba wanakiamini kile wanachokiamin mpaka kufa, Sasa fikili , TZ ina watu mil 60 je wapo wangapi?
 
Chadema kweli ni chama cha wachaga hebu angalia Manyara viongozi wa Chadema waliokamatwa na Mtei na Shayo viongozi wa Chadema Manyara aiseee

Yaani hadi Manyara viongozi wa Chadema wachaga
Pamoja na kwamba chadema ni chama cha wachaga kama unavyodai,lakini bado mkafosi kuchukua majimbo uchagani bila haya wala aibu.
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara linawashikila Viongozi watatu wa CHADEMA kwa kosa la kufanya mkutano bila kibali katika eneo la Stendi ya Katesh wilayani Hanang.

Viongozi wanaoshikiliwa ni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake (BAWACHA) mkoa wa Manyara Regula Mtei (45), Valentina Shayo (37) Mhasibu wa Bawacha mkoa wa Manyara na mjumbe wa Kamati tendaji BAWACHA wakifanya mkutano wa hadhara bila kibali.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara Benjamin Kuzaga katika taarifa hiyo ya Januari 19.2022, imeeleza kuwa viongozi hao walifanya kosa hilo Januari 15 mwak huumajira ya saa tisa alasiri wilayani humo.

Taarifa hiyo iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii imeeleza kuwa baada yaviongozi hao kukamatwa na kufikishwa kituoni walihojiwa na kukiri kosa lao na kwamba 17.1.2022 walifikishwa mahakamani.
View attachment 2091424
hao watu ni wajeuri na wakaidi sana, na hayo ndio matokeo ya mwenye kiti wao mboe, aliwafundisha kuvunja sheria kwa Jeuri, kuto kutii sheria za nchi.

Ukifanya utafiti utagundua tabia za namna hii, Ukorofi, ujeuri, matusi, kuvunja sheria kwa ujeuri na kuto kutii sheria za nchi ni tabia walizo nazo wafuasi wa mboe.

Sheria kali zichukuliwe dhidi yao.
hakuna aliye juu ya sheria za nchi.
 
Chadema kweli ni chama cha wachaga hebu angalia Manyara viongozi wa Chadema waliokamatwa na Mtei na Shayo viongozi wa Chadema Manyara aiseee

Yaani hadi Manyara viongozi wa Chadema wachaga
Mbona hata ccm ya sasa imejaa Kojan Gang na Msoga Gang, badala ya Sukuma Gang! Shida iko wapi?

"Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake. Muhimu tu ule kwa kipimo! Usivimbiwe. Haya siyo maneno yangu". Ni maneno ya Chief Hangaya kwa wasaidizi wake.
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara linawashikila Viongozi watatu wa CHADEMA kwa kosa la kufanya mkutano bila kibali katika eneo la Stendi ya Katesh wilayani Hanang.

Viongozi wanaoshikiliwa ni Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake (BAWACHA) mkoa wa Manyara Regula Mtei (45), Valentina Shayo (37) Mhasibu wa Bawacha mkoa wa Manyara na mjumbe wa Kamati tendaji BAWACHA wakifanya mkutano wa hadhara bila kibali.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara Benjamin Kuzaga katika taarifa hiyo ya Januari 19.2022, imeeleza kuwa viongozi hao walifanya kosa hilo Januari 15 mwak huumajira ya saa tisa alasiri wilayani humo.

Taarifa hiyo iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii imeeleza kuwa baada yaviongozi hao kukamatwa na kufikishwa kituoni walihojiwa na kukiri kosa lao na kwamba 17.1.2022 walifikishwa mahakamani.
View attachment 2091424
Ni ujinga mtupu. Viongozi wa CCM wanafanya mikutano nchi nzima, hatujawahi kusikia wakikamatwa.
 
Ingekuwa mimi ni RPC mambo kama haya nisingekuwa naita waandishi wa habari kuongea nao. Inawezekana ni daraja kufikia vyeo vya juu ila ningekuwa siiti press yoyote. Hii ni kwa sababu duniani kuna kesho, na hatujui kesho yetu

Na ingekuwa Mimi baada ya kukiri ningepotezea; kuna Makosa mengi wana siasa wanafanya makubwa zaidi ya Haya, Na huwa wanapotezewa!
 
Back
Top Bottom