Manyara: Wakili wa Serikali, Mutalemwa Kishenyi mbaroni kwa Rushwa, TAKUKURU wamshikisha za moto

Declaration of interest, jamaa nimesoma nae LL.B darasa moja, jamaa ni muadilifu wa ukweli kabisa na uadilifu wake ni uadilifu usiotia shaka, hivyo Takukuru ndio waongo!.
P
Watu hubadilika, hasa ukiwa huku field vishawishi ni vingi, kwhy kusoma kwenu darasa moja miaka mingi iliyopita usikariri jamaa bado tupo vile. Afu hiyo kuiita chombo cha dola ni waongo bila kuthibitisha huo uongo wao siyo vizuri.
 
Declaration of interest, jamaa nimesoma nae LL.B darasa moja, jamaa ni muadilifu wa ukweli kabisa na uadilifu wake ni uadilifu usiotia shaka, hivyo Takukuru ndio waongo!.
P
Yes now we know it's a "personal interest". Your judgement is clouded kwakuwa ulisoma nae? Aibu hii, unawezaje kusema TAKUKURU ndio waongo? Au umeshafanya uchunguzi? Au na wewe unahusika kwenye mgawo huo wa 5M?

Hapa jamaa umejivua vyeo asee.
 
Hatari sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…