Manyara: Wakili wa Serikali, Mutalemwa Kishenyi mbaroni kwa Rushwa, TAKUKURU wamshikisha za moto

Hii Taarifa ya TAKUKURU haiko na flow nzr, as if mwenye kuiandika alikuwa na haraka haraka hivi, unaleta ukakasi kwenye ukweli wa jambo lenyewe.

Kama aliomba na kupokea rushwa, kwa nn hawakumkamata immediately wakati akipokea?

Uharaka wa kutoa taarifa kuwa amepokea rushwa pasipo uthibitisho umetoka wapi?

Inanifikirisha kuwa huenda kuna njama ya kumchafua huyu Bwana Mtalemwa kwa sababu binafsi.
 
Declaration of interest, jamaa nimesoma nae LL.B darasa moja, jamaa ni muadilifu wa ukweli kabisa na uadilifu wake ni uadilifu usiotia shaka, hivyo Takukuru ndio waongo!.
P
Hata kama kasingiziwa jamaa atasotea ndani bula dhamana.
Ndio wakati wa kujua machungu ya matendo yao.
 
Pamoja na kwamba mm ni mkatoliki natumia biblia, nakubaliana na wewe,amepotoka pakubwa sana
 
Huyo huwaga ni msumbufu sana lkn alikomeshwa na Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…