Manyara: Wakili wa Serikali, Mutalemwa Kishenyi mbaroni kwa Rushwa, TAKUKURU wamshikisha za moto

Reginal ndio nini bana
 
Mara ngapi Takukuru wamebambikia watu kesi?. Mfano mzuri ni Mzee JR, yuko mahabusu ya Segerea, huu ni mwaka wa 6. Jee unaweza kuniambia kosa lake ni nini?.
P
Pascally ndugu yangu huoni kama haya maneno yako ungeyasema kipindi mzee huyo JR anakamatwa hadi anapelekwa huko rupango yangekuwa na sauti?
 
Wote ni wapumbavu mnaolalamikia na kulalamikiwa kwani mnatkuza dini za kizungu biblia ,kitabu cha warumi,n.k ni mambo ya kuridhi kwanini kusiwe na kitabu cha warusha,wakenya,wasudan,wadodoma?

Mmemezeshwa vibaya kiasi cha kujiita wa-islam/wa-kiristo,shit!!
 
Duh kazi iendelee....au huyu Naye ameonewa?
 
Mara ngapi Takukuru wamebambikia watu kesi?. Mfano mzuri ni Mzee JR, yuko mahabusu ya Segerea, huu ni mwaka wa 6. Jee unaweza kuniambia kosa lake ni nini?.
P
Kweli kabsa Kaka P, huyu mzee mwisho wa siku tutatangaziwa. " Wameamua kutoendelea na mashitaka, huwa hawajali ni mda gani wanawapotezea watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…