Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Morning,
Ambao tumeishi kwa ndugu nikiongea hivyo mnanielewa bora akunyanyase mama mwenye nyumba kuliko baba mwenye nyumba.
Nimeshaona kitu kama hiki kimewahi nitokeaga mpaka leo sitamani mwanangu aende kwa ndugu yoyote yule, sio kwenda likizo wala kumsalimia.
Nilikaaga kwa aunt yangu kulala ilikuwa store marufuku kwenda sitting room akikukuta unaandika maelezo, marufuku kwenda jikoni kunywa maji.
Alikuwa anasema ninyi wengine kunyweni maji ya bombani sitaki niwaone huku nikikumbuka na mengine mengi sitamani mwanangu aende kokote.