- Thread starter
- #181
Pole, chapa ilale sasa unipe ushauri mie mgonjwa!!!! hahaaaMkajua Biashara za badoo zimehamia great thinkers. Uliposema "manyonyo" nilidinda ghafra[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole, chapa ilale sasa unipe ushauri mie mgonjwa!!!! hahaaaMkajua Biashara za badoo zimehamia great thinkers. Uliposema "manyonyo" nilidinda ghafra[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mfano ukiwashwa huwa unapaka dawa gani? dawa hiyo ndio upake na kwenye matitiBahati nzuri au mbaya sijawahi kuwashwa ukeni
hahahahahahhaOk endelea kuwasha cz hakuna fungi wanaowasha hadi chuchu au unakaugonjwa alikokavumbua jpm [HASHTAG]#unawashwa[/HASHTAG] washwa.
Mfano ukiwashwa huwa unapaka dawa gani? dawa hiyo ndio upake na kwenye matiti
Haaa OK nkajisahau kukutajia Dawa. OK anyway Tumia pilipili ya mupesa motasapembe Bamutu bakelepota penyewe pumafu. Hii kitu inapatikana Congo misitu ya Bern. Inaanza kazi papo hapo na kupona papo hapo.Pole, chapa ilale sasa unipe ushauri mie mgonjwa!!!! hahaaa
mmmmmmmmmmmh!!!Haaa OK nkajisahau kukutajia Dawa. OK anyway Tumia pilipili ya mupesa motasapembe Bamutu bakelepota penyewe pumafu. Hii kitu inapatikana Congo misitu ya Bern. Inaanza kazi papo hapo na kupona papo hapo.
Kama utahiitaji hii kitu utanibaelezee mapema nimshtue samata apitaie payee TP Mazembe Congo kwa mutu ya watu papa moseiye katumbimmmmmmmmmmmh!!!
du!Kama utahiitaji hii kitu utanibaelezee mapema nimshtue samata apitaie payee TP Mazembe Congo kwa mutu ya watu papa moseiye katumbi
Mim huwashwa kawaida labda kama imezidi nenda hospitalUlivyoenda hospitali walikwambia chanzo na tiba yake ni ipi mama Sabrina?
Mie huwa inaanzia mara nyingi usiku mnene tena nikiwa usingizini hadi ninastukaMim huwashwa kawaida labda kama imezidi nenda hospital
Your wellcome.Ahsante sana Titicomb nakushukuru kwa ushauri wako murua
Ati?Mwanamke mwenye uke madhubuti
Thank you very muchYour wellcome.
ndio hivyo Lucky Star😉Ati?
Aiseee.....
Umetisha.ndio hivyo Lucky Star😉
Umetisha.
Pole kwa kamuwasho lkn
Serikali ilishazuia kuingizwa nchini nguo za ndani za mitumba kitambooooo!!!!Tatizo ndo ndo hilo, unakuta dem mzuuuuri lakn anatumia shidilia na vichupi vya mtumba
Zuio is one thing, hizi nguo zipo, zinauzwa na watu wanazivaa.Serikali ilishazuia kuingizwa nchini nguo za ndani za mitumba kitambooooo!!!!