- Thread starter
- #201
Du! sawa ahsante sana kwa kunipa mawazo mazuriZuio is one thing, hizi nguo zipo, zinauzwa na watu wanazivaa.
Lkn pia jaribu jaribu kuchunguza mwenendo wa huo muwasho...yawezekana hua ni wa kipindi cha hedhi tu. Kama ndo hivo sio tatzo, ni matatizo ya balehe tu.