Manyonyo kuwasha sana usiku

Manyonyo kuwasha sana usiku

Zuio is one thing, hizi nguo zipo, zinauzwa na watu wanazivaa.

Lkn pia jaribu jaribu kuchunguza mwenendo wa huo muwasho...yawezekana hua ni wa kipindi cha hedhi tu. Kama ndo hivo sio tatzo, ni matatizo ya balehe tu.
Du! sawa ahsante sana kwa kunipa mawazo mazuri
 
unatakiwa ujue jinsi ya kutunza mwili wako mwanamke .usiwe bahili wa mafuta .mimi kwa mwezi natumia makopo matatu ya mafuta ..bado vicream cream vya kunitakatisha sio mikorogo lakini .
nina mafuta ya nywele
ya uso
ya mdomo
ya shingo
ya nyonyo na tumbo na mapaja
ya taako
ya papuchi
ya bikini line
ya miguu
ya nyayo
ya kucha
Kweli unatafuta.. si kwa mafuta hayo aisee
 
Nyonyo na chuchu pia ili nione kama zinahitaji kunyonya au kushikwa shikwa🙂🙂

hhhhahha ya nyonyo au nikiwa najikuna
😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛
 
Nani alikudanganya mimi najihusisha na huo upuuzi!? Acha kurukia watu usiowafahamu.

Member wa CHAPUTA wanapenda sana picha. Hasa katika thread kama hizi.. hatari sana
 
Nani alikudanganya mimi najihusisha na huo upuuzi!? Acha kurukia watu usiowafahamu.
Kama kawaida... member wa CHAPUTA huwa wana hasiraaaaaa... sasa mkuu picha ya manyonyo ya watu wewe utaitumia kwa kazi gani tofauti na chaputa? Maana nyie chaputa nasikia ni wazoefu sana wa kula Ugali na picha Ya samaki.... pole bro. Siko serious sana.... Samahani lakini...
 
Akili yako fupi ndipo ilipoishia hapo.

Back
Top Bottom