Manyonyo kuwasha sana usiku

Pole, chapa ilale sasa unipe ushauri mie mgonjwa!!!! hahaaa
Haaa OK nkajisahau kukutajia Dawa. OK anyway Tumia pilipili ya mupesa motasapembe Bamutu bakelepota penyewe pumafu. Hii kitu inapatikana Congo misitu ya Bern. Inaanza kazi papo hapo na kupona papo hapo.
 
mmmmmmmmmmmh!!!
 
Tatizo ndo ndo hilo, unakuta dem mzuuuuri lakn anatumia shidilia na vichupi vya mtumba
 
Serikali ilishazuia kuingizwa nchini nguo za ndani za mitumba kitambooooo!!!!
Zuio is one thing, hizi nguo zipo, zinauzwa na watu wanazivaa.

Lkn pia jaribu jaribu kuchunguza mwenendo wa huo muwasho...yawezekana hua ni wa kipindi cha hedhi tu. Kama ndo hivo sio tatzo, ni matatizo ya balehe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…