Anapigwa na mtu wake au yeyote tu atakayetokea wakati huo?bora maana huyu mwenzetu yaani hata iweje lazima apigwe dyudu
Ahsante nitafanya hivyoBadili bra!
yeyote .yaani kuna siku alilala na mlinzi yaani nikimuangaliaga sina hamu naeAnapigwa na mtu wake au yeyote tu atakayetokea wakati huo?
Yesu wangu!!! huyo sasa aache pombe kabisa zimemkataaa!!!yeyote .yaani kuna siku alilala na mlinzi yaani nikimuangaliaga sina hamu nae
Hapana Dampa sina mimbaUpo karibu kupata mtt usijali keep calm
Kweli kabisaMuone Daktari maana kuna maradhi mengi sana usipuuze tafadhal
anakunywa jtatu mpaka jtatu yule.anapenda chini kuliko chakula sijui ana papuchi ngapi mwenzetu maana sio kwa kugegedwa huko na ana ndoa ni mke wa mtuYesu wangu!!! huyo sasa aache pombe kabisa zimemkataaa!!!
wanaokwambia kuna dawa ya kupaka, mara kupima wanakuongopea tu....matatizo mengine dawa yake inajulikana...hivi ukiwashwa ukeni huwa unapaka nin?😳😳😳😳😳😳😳😳😳😳
Itafute ndo tibaHapana Dampa sina mimba
mwe! hatarianakunywa jtatu mpaka jtatu yule.anapenda chini kuliko chakula sijui ana papuchi ngapi mwenzetu maana sio kwa kugegedwa huko na ana ndoa ni mke wa mtu
Kwa sasa sina huo mpango mkakati bwana!Itafute ndo tiba
Bahati nzuri au mbaya sijawahi kuwashwa ukeniwanaokwambia kuna dawa ya kupaka, mara kupima wanakuongopea tu....matatizo mengine dawa yake inajulikana...hivi ukiwashwa ukeni huwa unapaka nin?
Hapana situmii uzazi wa mpango.Unatumia uzazi wa mpango?
Angalia bra unazovaa zonabana sana au unatumia any tight in
Una allergy yoyote unayoifahamu katika mwili wako (pumu ya mapafu au ya ngozi, kutokwa na vipele vingi ukinyoa, kuwashwa sana Kwa kitu kidogo tofauti na wengine)
Umebadili mavazi au aina ya mafuta cream lotion uliyotumia awali
Nkajua Biashara za badoo zimehamia great thinkers. Uliposema "manyonyo" nilidinda ghafra[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mficha "nyeti" hapati mtoto.
Yaani ikifika usiku wa manane kuwe na joto au baridi, manyonyo yanawasha sana hadi kwenye chuchu!
Ushauri wenu tafadhali hasa hawa wataalam @sky eclat, na [USER=10655]@Watu8
Ahsanteni sana[/USER]
Du!Tafuta mtu akufanyie massage