Hilo la zamani halikujengwa sehemu sahihi ndo maana watu wengi hawalitumii. Lingekuwa linahamishika tungesema lihamishwe ila sasa TANROAD na Wizara ya Ujenzi pamoja na uongozi wa mkoa wa Dar es Salaam waungane kutatua kero hii. Tatizo hili linajulikana muda mrefu sasa ila limeachwa tu.