Manzese kujengwe Daraja lingine la waenda kwa miguu

Manzese kujengwe Daraja lingine la waenda kwa miguu

jojipoji koromije

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
1,024
Reaction score
1,466
Hakuna kitu kinakera kama foleni ya Manzese! Yaani unakaa foleni ili kupisha watu wavuke kwa mamia!!? Mambo ya kizamani sana haya.

Tunacheleweshana tu katika maendeleo. Mamlaka husika waliangalie hili. Tunaonekana wote ni wajinga kwa kukosa weledi wa kutatua changamoto iliyowazi kabisa.
 
Lililopo halitoshi?

Hilo la zamani halikujengwa sehemu sahihi ndo maana watu wengi hawalitumii. Lingekuwa linahamishika tungesema lihamishwe ila sasa TANROAD na Wizara ya Ujenzi pamoja na uongozi wa mkoa wa Dar es Salaam waungane kutatua kero hii. Tatizo hili linajulikana muda mrefu sasa ila limeachwa tu.
 
Lijengwe wapi? Tip Top ,Bakhresa ,Agentina?
 
Back
Top Bottom