jojipoji koromije
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,024
- 1,466
Hakuna kitu kinakera kama foleni ya Manzese! Yaani unakaa foleni ili kupisha watu wavuke kwa mamia!!? Mambo ya kizamani sana haya.
Tunacheleweshana tu katika maendeleo. Mamlaka husika waliangalie hili. Tunaonekana wote ni wajinga kwa kukosa weledi wa kutatua changamoto iliyowazi kabisa.