Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sio chai huyu jamaa tulishamshauri kuhusu mtu wake maana ameanza kumsumbua tangu mwaka jana sema ni mbishiChai birika, vitumbua sinia zima...
Jamaa jinga sana,sasa amefaidika nini mda wote,mi najiuliza mwanamke unawezaje kulala na mwanaume alafu usimpeMkuu sio chai huyu jamaa tulishamshauri kuhusu mtu wake maana ameanza kumsumbua tangu mwaka jana sema ni mbishi
Mkuu nimemfukuza ila kashindwa kwenda kwa madai atakuta mlango umefungwa huko kwao kwa sababu dada yake ambae amekuwa akiishi nae hayupo kaenda msibani na nauli iliyotumika ndio hio pesa yangu pasipo kunishilikisha...nimemwambia afikie hata kwa majirani zake kagoma...kwa sabb kasema kesho jumatatu ndio dada yake atakuwa kafika,nimeona sio kesi kesho jumatatu iwe is iwe ni lazima atoke hata kama dada yake hajafikaTulikwambia fukuza hiyo paka mapema ukashupaza shingo,eti unalazimisha tunda ona sasa,alafu mi najiuliza hapo kwako anafanya nini kama hata mapenzi hakupi au anataka roho yako.
Nasikia hadi akiba ukampa?shenzi kabisa,jinga wewe
Unanitisha mkuu hata dukani naogopa kwendaHuyu anakulia timing tu amni usiamininkeshajua udhaifu wako atasafisha gheto muda sio mrefu ...
Siku nyingine uache mambo ya hovyo utakuja kunyonywa damu bure.Mkuu nimemfukuza ila kashindwa kwenda kwa madai atakuta mlango umefungwa huko kwao kwa sababu dada yake ambae amekuwa akiishi nae hayupo kaenda msibani na nauli iliyotumika ndio hio pesa yangu pasipo kunishilikisha...nimemwambia afikie hata kwa majirani zake kagoma...kwa sabb kasema kesho jumatatu ndio dada yake atakuwa kafika,nimeona sio kesi kesho jumatatu iwe is iwe ni lazima atoke hata kama dada yake hajafika