Manzoki aiaga rasmi klabu ya Vippers, anaelekea Nchini China kujiunga na klabu ya Dallian FC. Juhidi za simba kuinasa saini yake zagonga ukuta

Ukiangalia hizi comments za mashabiki wa yanga inasadiki ile kauli ya manara wenye akili ni wawili kwasababu duniani hakuna team inayoweza kushindana na hao wachina kwenye mishahara na dau la uhamisho sasa simba ina hela gani ya kushindana na china naona watu wanamshambulia mo sijui walitaka afanyeje.
Ni kweli kabisa MAKOLOKOLO mwezangu
 
Mkataba na hiyo timu yake anayoenda China ni wa miezi minne, December unaisha, sioni shida iko wapi hapo, wacha akale pesa za hiyo miezi minne, then after anatua Msimbazi.

Mpunguze makasiriko.
We hupendi pesa? Manzoki hawez Rudi Simba kwenye njaa ,hapo kapewa mkataba wa miezi minne km chambo tu ,huyo sio fala et aache kuongeza mkataba hapo China penye mapesa mengi aje Simba penye njaa kali kias hiki so elewa jamaa haji Zaid ataongeza mkataba huko chini
 
Naona umejigeuza msemaji wa Manzoki.
 
Muhimu: Mchina kamwaga milioni 930 kuinasa saini na mshahara mnono, wanaoaminishwa na tetesi kwamba Manzoki atacheza China miezi minne na kisha kurudi simba wajaitafakari upya, Ni sawa na rubani wa ndege aanze kuendesha mabasi ya mikoani

Imeshakuwa kawaida sasa kwa Simba kuporwa tonge mdomoni kwenye usajili wa wachezaji wa kigeni, badala ya kuweka kitita wao wanatumia muda mwingi kuomba kupunguziwa bei, kusubiri wachezaji mikataba yao iishe ile wawanunue kwa bei rahisi, n.k. matokeo yake ndio haya sasa, Mchina kasikia kuna mchezaji anatajwa tajwa sana kaweka kitita, case closed!,simba wanabaki kuangaliana tu.

Mo Dewji kabla hajapewa umiliki wa simba milele alikuwa ananunua wachezaji fasta bila kujali gharama zao, ila sasa baada ya kupewa timu ameridhika maana anajua tayari simba ni yake, ni kama vile unapomtongoza binti inabidi ujiongeze lakini baada ya lengo lako kutimia unakuwa huna presha ya kumfanyia vitu special kama mwanzoni,saizi kaigeuza simba kama biashara yake na anaiendesha kikanjibahi kibahili bahili sana kwa lengo la faida kubwa, Faida kwanza mambo mengine baadae

View attachment 2336317
Sawa dada
 
Hyo ndo maana halisi ya mchezaji mzuri lazima agombaniwe ukiona unasajili mchezaji hagombaniwi na mtu ujue kuna tatizo mahali
 
Muhimu: Mchina kamwaga milioni 930 kuinasa saini na mshahara mnono, wanaoaminishwa na tetesi kwamba Manzoki atacheza China miezi minne na kisha kurudi simba wajaitafakari upya, Ni sawa na rubani wa ndege aanze kuendesha mabasi ya mikoani

Imeshakuwa kawaida sasa kwa Simba kuporwa tonge mdomoni kwenye usajili wa wachezaji wa kigeni, badala ya kuweka kitita wao wanatumia muda mwingi kuomba kupunguziwa bei, kusubiri wachezaji mikataba yao iishe ile wawanunue kwa bei rahisi, n.k. matokeo yake ndio haya sasa, Mchina kasikia kuna mchezaji anatajwa tajwa sana kaweka kitita, case closed!,simba wanabaki kuangaliana tu.

Mo Dewji kabla hajapewa umiliki wa simba milele alikuwa ananunua wachezaji fasta bila kujali gharama zao, ila sasa baada ya kupewa timu ameridhika maana anajua tayari simba ni yake, ni kama vile unapomtongoza binti inabidi ujiongeze lakini baada ya lengo lako kutimia unakuwa huna presha ya kumfanyia vitu special kama mwanzoni,saizi kaigeuza simba kama biashara yake na anaiendesha kikanjibahi kibahili bahili sana kwa lengo la faida kubwa, Faida kwanza mambo mengine baadae

View attachment 2336317
Nitakupinga kuhusu mpaka mwakani. Timu za Tanzania na uchumi wake tunaujua. Kusema Mo hafanyi kitu Simba ni kumuonea. Jamani kuendesha timu ni shughuli pevu, tena pevu iliyopevuka. Mchezaji kama Okrah usajili wake ni utajiri wa Mtu na akaheshimika Dar. Lakini bado Simba inafanya mengi kwa kutumia jina la Mo.
 
Mkataba na hiyo timu yake anayoenda China ni wa miezi minne, December unaisha, sioni shida iko wapi hapo, wacha akale pesa za hiyo miezi minne, then after anatua Msimbazi.

Mpunguze makasiriko.
Kwa miezi 4 mchezaji kama Manzoki mil.970 nakataa mpaka naumwa. Nilishasema humu tuache kum-overate Manzoki.
 
Ulitaka moo atoe tu ela zake kirahisi rahisi.Ata hivyo sio lazima awe manzoki wakucheza simba.ata kibu denis ni mchezaji.tusitake makubwa sana wakati uwezo wetu mdogo.
 
Back
Top Bottom