Manzoki kama Fei Toto tu

Manzoki kama Fei Toto tu

GANA BANKS

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
608
Reaction score
872
KIKWAZO KWA MANZOKI KUTUA SIMBA.

Waswahili wanasema DUNIA ni mzunguko! Kipindi manzoki yupo Vipers FC ni sawa na sakata la FEI TOTO linalo endeleo kwenye club yake kuhusishwa kutaka kuondoka bila kufuata utalatibu na kutaka kuvunja mkataba bila kushirikishwa club sababu kutakiwa na club hisiyo julikana na kugomesha kucheza.

MANZOKI naye msimu uliopita alihusishwa kutakiwa na club hapa nchini bila kuhusishwa club yake na kumpelekea mchezaji kuonyesha kiburi na kutozulia mazoezi hadi kugomesha baadhi ya mechi kusingizia majeraha, mladi timu yake imuachie aende timu anayotakiwa kwakua alihadiwa ofa nono endapo atavunja mkata wake na kujiunga na clup hiyo lakini dili halikufanikiwa sababu badhi ya vifungu vilikua vinamfunga kuvunja mkataba wake kama [emoji117]FEI TOTO.

Uongozi wa Vipers baada ya kugundua mchezaji wao kuna mabadiriko anaonyesha tofauti na awali,wakafanya uchunguz na kugundua kuwa mchezaji wao analubuniwa bazi ya club hapa bongo wakamua kumweka mchezaji wao sokoni na kutoa thamani yake in public club yoyote inayomwitaji mchezaji wao waje mezani kwa thamani ya si chini ya Mil.450 hila hakuna club iliyojitokeza kwa thamani hiyo.

Uongozi wa vipers baada kuona hakuna club iliyojitokeza basi wakamua kumuuza huko ili hasije kuondoka bure, maana ilifikia kipindi anapishana kauli na kocha wake hadi kutompanga bazi ya michezo.

Kocha akawambia uongozi wa Vipers kuwa ataki kumuona huyo mchezaj na hana mpango naye kwenye kikosi chake na kutompanga bazi ya mechi mfano mechi ya mwananchi day namini wengi mliona, Kocha wa vipers kwa sasa yupo simba ni kocha wa Nidhamu sna sawa na NABI tu!

Uongoz wa vipers basi wakamua kumtafutia club ya kumuza hili club ipate hela hasije ondoka bure wakapata ofa kutoka china na wakakubaliana ofa hiyo hila mchezaji aligomesha kusaini miaka2 akasaini miezi 6 sababu lengo lake litimie kuja kucheza Tz kwenye club hiyo pendwa na akafanikiwa miez yake sita imeisha huko china lakini walitaka wampe mkataba wake mwingine kwa ofa nono zaidi ya awali hila kagomesha anataka aje Tz basi wakachana naye.

HUSIYEMTAKA KAJA: Wiki mbili zilizopita mara paah! Simba wamtambulisha kocha mbraziri nani huyooo! wa VIPERS [emoji23][emoji95]Manzoki yupo pale uganda akisubili aje asaini [emoji15][emoji15], kumbuka huyo kocha ndiye aliyemtimua pale vipers kwa utovu wa nidhamu kugomesha mazoezi kujiona yeye staa[emoji23].

Uongozi wa simba ukamwambia kocha huyo tunakuletea streika ambaye ulikua naye pale vipers, MNASEMAJE[emoji15][emoji35]kama mnanitaka mm basi huyo mchezaji simtaki, Aje yeye mm niondoke [emoji124] simwitaji kwenye hiki kikosi.

Ndo uongozi wa simba ndo upo sasa kutafuta streika mwengine ndo hizo tetesi mnazozisikia mashabiki wa manzoki ndo hivo.

Funzo, usiondoke kwa ubaya, Dunia ni mzunguko.
 
KIKWAZO KWA MANZOKI KUTUA SIMBA.

Waswahili wanasema DUNIA ni mzunguko!,
Kipindi manzoki yupo vipers fc ni sawa na sakata la FEI TOTO linalo endeleo kwenye club yake kuhusishwa kutaka kuondoka bila kufuata utalatibu na kutaka kuvunja mkataba bila kushirikishwa club sababu kutakiwa na club hisiyo julikana na kugomesha kucheza,

MANZOKI naye msimu uliopita alihusishwa kutakiwa na club hapa nchini bila kuhusishwa club yake na kumpelekea mchezaji kuonyesha kiburi na kutozulia mazoezi hadi kugomesha bahadhi ya mechi kusingizia majeraha, mladi timu yake imuachie aende timu anayotakiwa kwakua alihadiwa ofa nono endapo atavunja mkata wake na kujiunga na clup hiyo lakini dili halikufanikiwa sababu badhi ya vifungu vilikua vinamfunga kuvunja mkataba wake kama [emoji117]FEI TOTO.

Uongozi wa Vipers baada ya kugundua mchezaji wao kuna mabadiriko anaonyesha tofauti na awali,wakafanya uchunguz na kugundua kuwa mchezaji wao analubuniwa bazi ya club hapa bongo wakamua kumweka mchezaji wao sokoni na kutoa thamani yake in public club yoyote inayomwitaji mchezaji wao waje mezani kwa thamani ya si chini ya Mil.450 hila hakuna club iliyojitokeza kwa thamani hiyo.

Uongozi wa vipers baada kuona hakuna club iliyojitokeza basi wakamua kumuuza huko ili hasije kuondoka bure, maana ilifikia kipindi anapishana kauli na kocha wake hadi kutompanga bazi ya michezo, kocha akawambia uongoz wa vipers kuwa ataki kumuona huyo mchezaj na hana mpango naye kwenye kikosi chake na kutompanga bazi ya mechi mfano mechi ya mwananchi day namini wengi mliona, Kocha wa vipers kwa sasa yupo simba ni kocha wa Nidhamu sna sawa na NABI tu!
Uongoz wa vipers basi wakamua kumtafutia club ya kumuza hili club ipate hela hasije ondoka bure wakapata ofa kutoka china na wakakubaliana ofa hiyo hila mchezaji aligomesha kusaini miaka2 akasaini miezi 6 sababu lengo lake litimie kuja kucheza Tz kwenye club hiyo pendwa na akafanikiwa miez yake sita imeisha huko china lakini walitaka wampe mkataba wake mwingine kwa ofa nono zaidi ya awali hila kagomesha anataka aje Tz basi wakachana naye.

HUSIYEMTAKA KAJA: Wiki mbili zilizopita mara paah! Simba wamtambulisha kocha mbraziri nani huyooo! wa VIPERS [emoji23][emoji95]Manzoki yupo pale uganda akisubili aje asaini [emoji15][emoji15],kumbuka huyo kocha ndiye aliyemtimua pale vipers kwa utovu wa nidhamu kugomesha mazoezi kujiona yeye staa[emoji23]Uongozi wa simba ukamwambia kocha huyo tunakuletea streika ambaye ulikua naye pale vipers,MNASEMAJE[emoji15][emoji35]kama mnanitaka mm basi huyo mchezaji simtaki, Aje yeye mm niondoke [emoji124]simwitaji kwenye hiki kikosi.Ndo uongozi wa simba ndo upo sasa kutafuta streika mwengine ndo hizo tetesi mnazozisikia mashabiki wa manzoki ndo hivo.FUNZO
"HUSIONDOKE KWA UBAYA DUNIA NI MZUNGUKO"
Hii chai mbona haina sukari?
 
IMG_20230113_065724.jpg
 
Umetufundisha kuishi na watu vizuri.

Mengine yoote na mengi si sahii.

Manzoki HAWEZI kucheza Bongo.
Hili niliisha liongea sana HUMU
Niliahidi kutoa Hadi Milioni Tano kama akicheza Simba.

Simba Haina uwezo wa kumsajili Manzoki wamejawa na propaganda tu.

Mala
Adebayor.
Manzoki.
Bambala
Azizi ki.

UONGO MTUPU
mwamedi mala ajitoe mala arudi haeleweki.
 
Yaani manzoki aache kucheza china atamani bongo ? No way
 
Kuna mchezaji wa Power Dynamo ya Zambia mpaka Sasa hajatambilishwa inasemekana yanga wamemshindwa kufika dau la usajili wanamshawishi mchezaji avunje mkataba lakini Power Dynamo wanafatilia Kwa karibu kusubiri yanga wamtambulishe ili wachukue hatua stahiki
 
Umetufundisha kuishi na watu vizuri.

Mengine yoote na mengi si sahii.

Manzoki HAWEZI kucheza Bongo.
Hili niliisha liongea sana HUMU
Niliahidi kutoa Hadi Milioni Tano kama akicheza Simba.

Simba Haina uwezo wa kumsajili Manzoki wamejawa na propaganda tu.

Mala
Adebayor.
Manzoki.
Bambala
Azizi ki.

UONGO MTUPU
mwamedi mala ajitoe mala arudi haeleweki.

Hapo hujataja sababu zinazofanya washindwe kumsajili mkuu…!!! Angalau mleta mada katoa picha, hata kama ni ya kutunga lakini inaleta uhalisia fulani….!!!
 
Kuna mchezaji wa Power Dynamo ya Zambia mpaka Sasa hajatambilishwa inasemekana yanga wamemshindwa kufika dau la usajili wanamshawishi mchezaji avunje mkataba lakini Power Dynamo wanafatilia Kwa karibu kusubiri yanga wamtambulishe ili wachukue hatua stahiki
Muwe mnaacha umbea.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
KIKWAZO KWA MANZOKI KUTUA SIMBA.

Waswahili wanasema DUNIA ni mzunguko! Kipindi manzoki yupo Vipers FC ni sawa na sakata la FEI TOTO linalo endeleo kwenye club yake kuhusishwa kutaka kuondoka bila kufuata utalatibu na kutaka kuvunja mkataba bila kushirikishwa club sababu kutakiwa na club hisiyo julikana na kugomesha kucheza.

MANZOKI naye msimu uliopita alihusishwa kutakiwa na club hapa nchini bila kuhusishwa club yake na kumpelekea mchezaji kuonyesha kiburi na kutozulia mazoezi hadi kugomesha baadhi ya mechi kusingizia majeraha, mladi timu yake imuachie aende timu anayotakiwa kwakua alihadiwa ofa nono endapo atavunja mkata wake na kujiunga na clup hiyo lakini dili halikufanikiwa sababu badhi ya vifungu vilikua vinamfunga kuvunja mkataba wake kama [emoji117]FEI TOTO.

Uongozi wa Vipers baada ya kugundua mchezaji wao kuna mabadiriko anaonyesha tofauti na awali,wakafanya uchunguz na kugundua kuwa mchezaji wao analubuniwa bazi ya club hapa bongo wakamua kumweka mchezaji wao sokoni na kutoa thamani yake in public club yoyote inayomwitaji mchezaji wao waje mezani kwa thamani ya si chini ya Mil.450 hila hakuna club iliyojitokeza kwa thamani hiyo.

Uongozi wa vipers baada kuona hakuna club iliyojitokeza basi wakamua kumuuza huko ili hasije kuondoka bure, maana ilifikia kipindi anapishana kauli na kocha wake hadi kutompanga bazi ya michezo.

Kocha akawambia uongozi wa Vipers kuwa ataki kumuona huyo mchezaj na hana mpango naye kwenye kikosi chake na kutompanga bazi ya mechi mfano mechi ya mwananchi day namini wengi mliona, Kocha wa vipers kwa sasa yupo simba ni kocha wa Nidhamu sna sawa na NABI tu!

Uongoz wa vipers basi wakamua kumtafutia club ya kumuza hili club ipate hela hasije ondoka bure wakapata ofa kutoka china na wakakubaliana ofa hiyo hila mchezaji aligomesha kusaini miaka2 akasaini miezi 6 sababu lengo lake litimie kuja kucheza Tz kwenye club hiyo pendwa na akafanikiwa miez yake sita imeisha huko china lakini walitaka wampe mkataba wake mwingine kwa ofa nono zaidi ya awali hila kagomesha anataka aje Tz basi wakachana naye.

HUSIYEMTAKA KAJA: Wiki mbili zilizopita mara paah! Simba wamtambulisha kocha mbraziri nani huyooo! wa VIPERS [emoji23][emoji95]Manzoki yupo pale uganda akisubili aje asaini [emoji15][emoji15], kumbuka huyo kocha ndiye aliyemtimua pale vipers kwa utovu wa nidhamu kugomesha mazoezi kujiona yeye staa[emoji23].

Uongozi wa simba ukamwambia kocha huyo tunakuletea streika ambaye ulikua naye pale vipers, MNASEMAJE[emoji15][emoji35]kama mnanitaka mm basi huyo mchezaji simtaki, Aje yeye mm niondoke [emoji124] simwitaji kwenye hiki kikosi.

Ndo uongozi wa simba ndo upo sasa kutafuta streika mwengine ndo hizo tetesi mnazozisikia mashabiki wa manzoki ndo hivo.

Funzo, usiondoke kwa ubaya, Dunia ni mzunguko.
Kwa uandishi wako huu huwezi kujua jambo lolote la maana zaidi ya braa braa tu!!

Nenda Ngumbaru kwanza ukafunzwe misingi ya uandishi na matumizi sahihi ya herufi Ndio ubwabwaje hapa jukwaani.
 
Kuna mchezaji wa Power Dynamo ya Zambia mpaka Sasa hajatambilishwa inasemekana yanga wamemshindwa kufika dau la usajili wanamshawishi mchezaji avunje mkataba lakini Power Dynamo wanafatilia Kwa karibu kusubiri yanga wamtambulishe ili wachukue hatua stahiki
Vipi power washachukua hatua?
 
KIKWAZO KWA MANZOKI KUTUA SIMBA.

Waswahili wanasema DUNIA ni mzunguko! Kipindi manzoki yupo Vipers FC ni sawa na sakata la FEI TOTO linalo endeleo kwenye club yake kuhusishwa kutaka kuondoka bila kufuata utalatibu na kutaka kuvunja mkataba bila kushirikishwa club sababu kutakiwa na club hisiyo julikana na kugomesha kucheza.

MANZOKI naye msimu uliopita alihusishwa kutakiwa na club hapa nchini bila kuhusishwa club yake na kumpelekea mchezaji kuonyesha kiburi na kutozulia mazoezi hadi kugomesha baadhi ya mechi kusingizia majeraha, mladi timu yake imuachie aende timu anayotakiwa kwakua alihadiwa ofa nono endapo atavunja mkata wake na kujiunga na clup hiyo lakini dili halikufanikiwa sababu badhi ya vifungu vilikua vinamfunga kuvunja mkataba wake kama [emoji117]FEI TOTO.

Uongozi wa Vipers baada ya kugundua mchezaji wao kuna mabadiriko anaonyesha tofauti na awali,wakafanya uchunguz na kugundua kuwa mchezaji wao analubuniwa bazi ya club hapa bongo wakamua kumweka mchezaji wao sokoni na kutoa thamani yake in public club yoyote inayomwitaji mchezaji wao waje mezani kwa thamani ya si chini ya Mil.450 hila hakuna club iliyojitokeza kwa thamani hiyo.

Uongozi wa vipers baada kuona hakuna club iliyojitokeza basi wakamua kumuuza huko ili hasije kuondoka bure, maana ilifikia kipindi anapishana kauli na kocha wake hadi kutompanga bazi ya michezo.

Kocha akawambia uongozi wa Vipers kuwa ataki kumuona huyo mchezaj na hana mpango naye kwenye kikosi chake na kutompanga bazi ya mechi mfano mechi ya mwananchi day namini wengi mliona, Kocha wa vipers kwa sasa yupo simba ni kocha wa Nidhamu sna sawa na NABI tu!

Uongoz wa vipers basi wakamua kumtafutia club ya kumuza hili club ipate hela hasije ondoka bure wakapata ofa kutoka china na wakakubaliana ofa hiyo hila mchezaji aligomesha kusaini miaka2 akasaini miezi 6 sababu lengo lake litimie kuja kucheza Tz kwenye club hiyo pendwa na akafanikiwa miez yake sita imeisha huko china lakini walitaka wampe mkataba wake mwingine kwa ofa nono zaidi ya awali hila kagomesha anataka aje Tz basi wakachana naye.

HUSIYEMTAKA KAJA: Wiki mbili zilizopita mara paah! Simba wamtambulisha kocha mbraziri nani huyooo! wa VIPERS [emoji23][emoji95]Manzoki yupo pale uganda akisubili aje asaini [emoji15][emoji15], kumbuka huyo kocha ndiye aliyemtimua pale vipers kwa utovu wa nidhamu kugomesha mazoezi kujiona yeye staa[emoji23].

Uongozi wa simba ukamwambia kocha huyo tunakuletea streika ambaye ulikua naye pale vipers, MNASEMAJE[emoji15][emoji35]kama mnanitaka mm basi huyo mchezaji simtaki, Aje yeye mm niondoke [emoji124] simwitaji kwenye hiki kikosi.

Ndo uongozi wa simba ndo upo sasa kutafuta streika mwengine ndo hizo tetesi mnazozisikia mashabiki wa manzoki ndo hivo.

Funzo, usiondoke kwa ubaya, Dunia ni mzunguko.
Chai kama chai zingine.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Si ungeandika kiswahili tu mkuu ili wote tuelewe?
Sasa ndio nini kuandika kilugha chenu??
 
Back
Top Bottom