GANA BANKS
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 608
- 872
KIKWAZO KWA MANZOKI KUTUA SIMBA.
Waswahili wanasema DUNIA ni mzunguko! Kipindi manzoki yupo Vipers FC ni sawa na sakata la FEI TOTO linalo endeleo kwenye club yake kuhusishwa kutaka kuondoka bila kufuata utalatibu na kutaka kuvunja mkataba bila kushirikishwa club sababu kutakiwa na club hisiyo julikana na kugomesha kucheza.
MANZOKI naye msimu uliopita alihusishwa kutakiwa na club hapa nchini bila kuhusishwa club yake na kumpelekea mchezaji kuonyesha kiburi na kutozulia mazoezi hadi kugomesha baadhi ya mechi kusingizia majeraha, mladi timu yake imuachie aende timu anayotakiwa kwakua alihadiwa ofa nono endapo atavunja mkata wake na kujiunga na clup hiyo lakini dili halikufanikiwa sababu badhi ya vifungu vilikua vinamfunga kuvunja mkataba wake kama [emoji117]FEI TOTO.
Uongozi wa Vipers baada ya kugundua mchezaji wao kuna mabadiriko anaonyesha tofauti na awali,wakafanya uchunguz na kugundua kuwa mchezaji wao analubuniwa bazi ya club hapa bongo wakamua kumweka mchezaji wao sokoni na kutoa thamani yake in public club yoyote inayomwitaji mchezaji wao waje mezani kwa thamani ya si chini ya Mil.450 hila hakuna club iliyojitokeza kwa thamani hiyo.
Uongozi wa vipers baada kuona hakuna club iliyojitokeza basi wakamua kumuuza huko ili hasije kuondoka bure, maana ilifikia kipindi anapishana kauli na kocha wake hadi kutompanga bazi ya michezo.
Kocha akawambia uongozi wa Vipers kuwa ataki kumuona huyo mchezaj na hana mpango naye kwenye kikosi chake na kutompanga bazi ya mechi mfano mechi ya mwananchi day namini wengi mliona, Kocha wa vipers kwa sasa yupo simba ni kocha wa Nidhamu sna sawa na NABI tu!
Uongoz wa vipers basi wakamua kumtafutia club ya kumuza hili club ipate hela hasije ondoka bure wakapata ofa kutoka china na wakakubaliana ofa hiyo hila mchezaji aligomesha kusaini miaka2 akasaini miezi 6 sababu lengo lake litimie kuja kucheza Tz kwenye club hiyo pendwa na akafanikiwa miez yake sita imeisha huko china lakini walitaka wampe mkataba wake mwingine kwa ofa nono zaidi ya awali hila kagomesha anataka aje Tz basi wakachana naye.
HUSIYEMTAKA KAJA: Wiki mbili zilizopita mara paah! Simba wamtambulisha kocha mbraziri nani huyooo! wa VIPERS [emoji23][emoji95]Manzoki yupo pale uganda akisubili aje asaini [emoji15][emoji15], kumbuka huyo kocha ndiye aliyemtimua pale vipers kwa utovu wa nidhamu kugomesha mazoezi kujiona yeye staa[emoji23].
Uongozi wa simba ukamwambia kocha huyo tunakuletea streika ambaye ulikua naye pale vipers, MNASEMAJE[emoji15][emoji35]kama mnanitaka mm basi huyo mchezaji simtaki, Aje yeye mm niondoke [emoji124] simwitaji kwenye hiki kikosi.
Ndo uongozi wa simba ndo upo sasa kutafuta streika mwengine ndo hizo tetesi mnazozisikia mashabiki wa manzoki ndo hivo.
Funzo, usiondoke kwa ubaya, Dunia ni mzunguko.