Maofisa wa Polisi wilayani Bahi-Dodoma, wanawanyang'anya raia pesa zao

hawa mapolisi majinga sana, yakiumia tufanye sherehe.

wanakula rushwa rushwa sana.

mkoani x, Luna asikari walimuita raia kuwa kuna dili LA MTU kufumwa na mwanafunzi.

chapu jamaa akatia timu na raum yake na pingu. akaingia ndani ili amkamate mhalifu. walchenjia jamaa wakampiga sana. alilazwa mwezi mzima hajitambui.
 
Nadhani hamza anatakiwa kutoa funzo zaidi kwa hawa matahaira wanaoitwa polisi
 
Jamaa umewataarifu, wakikaidi usifanye ya ugaidi, nenda kwa Mheshimiwa Mtaka
 
Hivi Polisi huwa wanaona raha kunyanyasa Raia?
 
Wiraya ndiyo nini au ulimaanisha wilaya au ulaya? Jifunze lugha ya taifa kuondoa aibu vinginevyo tutakuona wewe si mtanzania.
Ila kweli ndo naamini kuwa when others sees big picture others see details.
Others are lateral thinkers others are linear thinkers.
Ila uko sawa pia I doubt wewe ni mwalimu wa lugha ama una fall on former category
 
my matter was just to derive messege not presenting language grammar huyu kuku ananijoboa kama kwamba swala la error spelling halitokeagi au nae ni askari
 
Kuna lugha huwa wanaisikia hizi zingine ni kama kelele za mlango tu.

Pumzika kwa amani Hassan Hamza.
 
Wiraya ndiyo nini au ulimaanisha wilaya au ulaya? Jifunze lugha ya taifa kuondoa aibu vinginevyo tutakuona wewe si mtanzania.
am not just for a languange grammar but my aim was just to presenting what I aimed to present. fu**ck off your thinking beyond evil mataqo wewe ninashule ambayo hata ukujumulisha mama yako na baba yako na wadogo zako wote bado hamnifikii suala la spelling error ni suala la kawaida katika maandishi usilete ujuaji ngesem wewe maku
 
my matter was just to derive messege not presenting language grammar huyu kuku ananijoboa kama kwamba swala la error spelling halitokeagi au nae ni askari

Ndiyo polisi wenyewe hao mkuu wala wasikupe taabu.

Umegusa maslahi yao.

Lengo utoke kwenye reli muanze matusi.
 
Ndio maana Hamza anawaua. Jeshi la police limekuwa halifai kabisa.
 
hivi hawa viongozi inamaana hawaoni hizi kero za hawa polisi. kila kona polisi wamekuwa kero.

mama tatizo kazubaa sana watamtoboa adi na vidole kwenye macho. ukicheza na kima utavuna mabua na atavuna mabua huyuu mama.
Watulie kama wananyolewa Mama anawaandalia dawa Mujarabu
 
Ndiyo polisi wenyewe hao mkuu wala wasikupe taabu.

Umegusa maslahi yao.

Lengo utoke kwenye reli muanze matusi.
sasa kama ni polisi bora anyamaze kabisa maana amelionea hilo la wiraya instead of wilaya otherwise nitakuwa naandika kizungu tu aishie kusoma herufi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…