SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Mashindano ya Olympics yana michezo mingi sana na mingine ni nadra sana kwa mwanamichezo kutengeneza kipato nje ya mashindano yale. Umewahi kujiuliza wanamichezo wanaoshiriki michezo ya Olympics wanafaidikaje ukiacha nafasi ya kushinda medali?
Ngoja nikuwekee mkeka wa mifano ya nchi kadhaa ujionee mwenyewe jinsi wenzetu walivyo serious na bendera za nchi zao (viwango katika shilingi ni kwa rate za leo za USD 1 = TSH 2,700.50)
Norway:
Gold - 0
Silver - 0
Bronze - 0
Kazakhstan:
Gold - Apartment ya vyumba 3
Silver - Apartment ya vyumba 2
Bronze - Apartment ya chumba 1
Ujerumani:
Gold - $21,900 (TSH milioni 59.1)
Silver - $16,400 (TSH milioni 44.2)
Bronze - $10,950 (TSH milioni 29.5)
Marekani:
Gold - $37,500 (TSH milioni 101.2)
Silver - $22,500 (TSH milioni 60.7)
Bronze - $15,000 (TSH milioni 40.5)
Ufaransa:
Gold - $71,200 (TSH milioni 192.2)
Silver - $27,400 (TSH milioni 73.9)
Bronze - $16,400 (TSH milioni 44.2)
Hispania:
Gold - $102,900 (TSH milioni 277.8)
Silver - $52,600 (TSH milioni 142)
Bronze - $32,900 (TSH milioni 88.8)
Italia:
Gold - $197,100 (TSH milioni 532.2)
Silver - $98,500 (TSH milioni 265.9)
Bronze - $65,700 (TSH milioni 177.4)
Taiwan:
Gold - $716,000 (TSH bilioni 1.9)
Silver - $250,000 (TSH milioni 675.1)
Bronze - $179,000 (TSH milioni 483.3)
Singapore:
Gold - $737,000 (TSH bilioni 1.9)
Silver - $368,000 (TSH milioni 993.7)
Bronze - $184,000 (TSH milioni 496.8)
Viwango vya nchi yako vikoje?
Nadhani Taiwan wameweka viwango vikubwa hivyo kwa sababu za kisiasa.
WAZO: Hivi kama nchi huru, nini kinatuzuia kupulizia kidogo kwenye kombe la NBC kavumbi ka dhahabu kutoka kule Geita na kudumbukiza ndani ya kombe kajiwe ka Tanzanite ili kulipa kombe thamani? Embu waza kombe la ligi lingekuwa na thamani ya bilioni 10. Thamani ya kombe ingekuwa ni njia nyingine ya kubrand ligi na nchi yetu.