Walt white
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 258
- 670
Kuna kaharufu ka-uchoyo hapa, si vizuri kunyimana vilivyo ndani ya uwezo.Wakuu, tukiachana na watu wako wa karibu kukuomba pesa kipi kingine ukiombwa huwa unakereka sana? Binafsi ni haya matatu
1. Simu yako ina dakika uniazime?
2.kuombana vifaa vya kazi
3.kuombana mavazi hasa viatu.
Je wewe kuna mengine yanakukera au yote ni sawa kwako?
Kuna kaharufu ka-uchoyo hapa, si vizuri kunyimana vilivyo ndani ya uwezo.
Vipi wakija na mashuka yao?kuombwa geto hii asee mara nying kama sio zote nawatolea nje