Maombi juu ya Corona: Kanuni za maombi ziko wazi - waombe msamaha uliowakosea ili maombi yako yasikilizwe, la sivyo unajisumbua bure!

Maombi juu ya Corona: Kanuni za maombi ziko wazi - waombe msamaha uliowakosea ili maombi yako yasikilizwe, la sivyo unajisumbua bure!

Uko sahihi

Ndiyo maana zimetengwa siku tatu za maombi

Toba ama kutubu makosa yako na ya watu wengine ni sehemu ya maombi yako.

Hawa watu ndio maana wanaendelea kuua na kuonea watu kwa kuwa wanaamini kuna watu kama wewe watawaombea toba! Kwa jinsi hiyo basi, watu kama na wewe na wao pia wote mna hatia ya damu, kwa kuwa nyie ndio chanzo chao cha kuwa na kiburi cha kuendelea kumwaga damu zisizo na hatia.
 
Aliyekuambia Italy, Spain, UK kama taifa wana mambo ya kuomba msamaha kuhusu kunyima watu haki za kuishi ni nani?

Kuna watu mnakurupuka na ni wazi mnajibu thread bila ya kuzisoma.
Nani aliyekwambia huko unakosema wanatabia hiyo, ya kuomba msamaha
 
Nani aliyekwambia huko unakosema wanatabia hiyo, ya kuomba msamaha
Hujaelewa. NIna maana hawana haja ya kuomba msamaha kama taifa, kwa kuwa haauiwatu kwa sababu za kisiasa au kupishana kauli, wala kuwafunga jela wapinzani wa siasa kuhuni tu! Wanatenda haki kwa wananchi na wanasiasa wa upinzani. Kwa hiyo waombe msamaha wa nini kama taifa?
 
Back
Top Bottom