Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
- #21
Sana, na siongozwi au kuelekezwa na wana wa kuzimu katika kufanya hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana, na siongozwi au kuelekezwa na wana wa kuzimu katika kufanya hivyo.
Uko sahihi
Ndiyo maana zimetengwa siku tatu za maombi
Toba ama kutubu makosa yako na ya watu wengine ni sehemu ya maombi yako.
Nani aliyekwambia huko unakosema wanatabia hiyo, ya kuomba msamahaAliyekuambia Italy, Spain, UK kama taifa wana mambo ya kuomba msamaha kuhusu kunyima watu haki za kuishi ni nani?
Kuna watu mnakurupuka na ni wazi mnajibu thread bila ya kuzisoma.
Hujaelewa. NIna maana hawana haja ya kuomba msamaha kama taifa, kwa kuwa haauiwatu kwa sababu za kisiasa au kupishana kauli, wala kuwafunga jela wapinzani wa siasa kuhuni tu! Wanatenda haki kwa wananchi na wanasiasa wa upinzani. Kwa hiyo waombe msamaha wa nini kama taifa?Nani aliyekwambia huko unakosema wanatabia hiyo, ya kuomba msamaha