Hawa watu ndio maana wanaendelea kuua na kuonea watu kwa kuwa wanaamini kuna watu kama wewe watawaombea toba! Kwa jinsi hiyo basi, watu kama na wewe na wao pia wote mna hatia ya damu, kwa kuwa nyie ndio chanzo chao cha kuwa na kiburi cha kuendelea kumwaga damu zisizo na hatia.
Hujaelewa. NIna maana hawana haja ya kuomba msamaha kama taifa, kwa kuwa haauiwatu kwa sababu za kisiasa au kupishana kauli, wala kuwafunga jela wapinzani wa siasa kuhuni tu! Wanatenda haki kwa wananchi na wanasiasa wa upinzani. Kwa hiyo waombe msamaha wa nini kama taifa?