valid statement
JF-Expert Member
- Sep 18, 2011
- 2,852
- 873
mimi wala usiniombee wala nini,
kwanini unakataa uombewa mkuu?
UTAJIOMBEA MWENYEWE?
AU UMESHAFANIKIWA KI MAISHA KIASI HUMWITAJI TENA MUNGU?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi wala usiniombee wala nini,
siamini maombi yenukwanini unakataa uombewa mkuu?
UTAJIOMBEA MWENYEWE?
AU UMESHAFANIKIWA KI MAISHA KIASI HUMWITAJI TENA MUNGU?
jamani wana jukwaa na wakaribisha katika mkutano wa injili katika viwanja vya biafra ,pamoja na mafundisho yanayotolewa pia
watumishi wa MUNGU wanaombea vijana tupate ajira na tujitegemee ,mimi nachukua nafasi hii kuwa karibisha wote
mbarikiwe wapendwa