Maombi kwa wanaotafuta ajira

Maombi kwa wanaotafuta ajira

jamani wana jukwaa na wakaribisha katika mkutano wa injili katika viwanja vya biafra ,pamoja na mafundisho yanayotolewa pia
watumishi wa MUNGU wanaombea vijana tupate ajira na tujitegemee ,mimi nachukua nafasi hii kuwa karibisha wote

mbarikiwe wapendwa

Waliochangia sijaona wakuja hata mmoja maana hawaulizi ni tarehe ngapi na saa ngapi hayo yanafanyika...Duuuuu..watumishi wa Mungu wana kazi kubwa sana kwa kizazi hiki.
 
Back
Top Bottom