Mtanzania mwenzetu Sativa yuko hoi kitandani akipambania uhai wake. Mungu ni Mkuu amempa nguvu ya kutoka msituni mahali alipotupwa na kufika barabarani. Huo ni muujiza na hapo kuna kitu Mungu alitaka kuwafunulia Watanzania na Ulimwengu kwa ujumla.
Mawasiliano ya simu ya Sativa yataeleza kila kitu ikiwa wakuu watataka kufuatilia na kuhakikisha watesi wa Sativa wanatiwa nguvuni. Ila kuanzia tarehe ya kupotea kwake hadi leo hii watu wapo kimya.
Kwa kuwa hatuwajui watesi wake, basi tumuombe Mungu wake ampambanie uhai wake na pia awashughulikie watesi wake.
Utu
PIA SOMA
- SATIVA: Nilitekwa nikapelekwa Karakana ya Polisi Oysterbay kabla ya kusafirishwa sehemu nyingine na nimepigwa risasi ya kichwa