Maombi maalum kwa ajili ya Sativa na Watanzania wote waliofia au kuteswa mikononi mwa polisi

Maombi maalum kwa ajili ya Sativa na Watanzania wote waliofia au kuteswa mikononi mwa polisi

Post. zako nyingi ni za kuitetea ccm hata ujingaujinga ndio maana sioni kama una dhamira ya dhati kumuonea huruma huyo mhanga wa utekwaji.
Mm sijawahi kushabikia chama chcht.

Ila hua sipendi watu kuleta siasa kwenye mambo kama haya, angalia sasa hv kuna uzi humu JF ety Chadema ndio wako mahakamani kudai haki ya jamaa, hayo ndo mambo sipendi (sio sipendi haki ila sipendi vile Chadema wanategemea trending kujiendesha.

Sina chama wala cjawah kupiga kura.
 
Baba katika jina la Yesu, tunashukuru kwa kudhihirisha ukuu wako, kupitia kwa Edgar. Na ukamponye majeraha yake, arudi kwa familia yake.

Baba uende ukamuaibishe shetani na kazi zake. Kila aliyeshiriki katika mateso ya Edgar, ukashughulike naye yeye na vizazi vyake vyote. Amen🙏
 
🙏
💪
 
images.jpeg-103.jpg
 
Mm sijawahi kushabikia chama chcht.

Ila hua sipendi watu kuleta siasa kwenye mambo kama haya, angalia sasa hv kuna uzi humu JF ety Chadema ndio wako mahakamani kudai haki ya jamaa, hayo ndo mambo sipendi (sio sipendi haki ila sipendi vile Chadema wanategemea trending kujiendesha.

Sina chama wala cjawah kupiga kura.

..kwani nani kawazuia Ccm, Cuf, Tlp, kumtetea jamaa?

..Je, huoni ajabu kwamba ktk matukio kama haya, wanaobeza wahanga, ndio walewale wanaotetea Ccm?
 
Mtanzania mwenzetu Sativa yuko hoi kitandani akipambania uhai wake. Mungu ni Mkuu amempa nguvu ya kutoka msituni mahali alipotupwa na kufika barabarani. Huo ni muujiza na hapo kuna kitu Mungu alitaka kuwafunulia Watanzania na Ulimwengu kwa ujumla.

Mawasiliano ya simu ya Sativa yataeleza kila kitu ikiwa wakuu watataka kufuatilia na kuhakikisha watesi wa Sativa wanatiwa nguvuni. Ila kuanzia tarehe ya kupotea kwake hadi leo hii watu wapo kimya.

Kwa kuwa hatuwajui watesi wake, basi tumuombe Mungu wake ampambanie uhai wake na pia awashughulikie watesi wake.

Utu
tukumbuke pia kuwaombea wanaopambania uhai wao mahospitalini kwa namna mbalimbali kwa muda mrefu, wawe na Imani kwa Mungu na wasikate Tamaa ...

Mungu Mwenyezi abariki dawa wanazozitumia wahonjwa hao, ziwape nafuu na uponyaji katika afya za miili yao, awabariki madaktari wote wanao wahudumia moyo wa huruma na ustahimilivu na daima wasichoke 🐒
 
..kwani nani kawazuia Ccm, Cuf, Tlp, kumtetea jamaa?

..Je, huoni ajabu kwamba ktk matukio kama haya, wanaobeza wahanga, ndio walewale wanaotetea Ccm?
Nimewasemea Chadema mana wao ndio kawaida yao hy
 
Nakufananisha na yule msauzi wa gym. Case closed
Ndio maana nimekugongea mkeo.
- 2 Pac kwenda Big Notorious nyimbo ya Hit 'em Up kwenye intro ndio anasema hivyo anasema kwamba

"Sina marafiki wa kiboya,
Na ndio maana nimekugongea mkeo, Wewe kibonge k-mamako".
 
Mibange aliyoivuta na stimu za kulanduka ndio imemfikisha alipofika, Wewe google Neno 'Sativa' alafu nenda upande wa Picha ndio utanielewa namaanisha nini ni mibange
Neno moja linaweza kua na maana nyingi,acha kukariri.
 
Mwambieni dogo aache mibange
Bangi ndio imemfanya atekwe na kuteswa? Wote waliotekwa ni wavuta bangi? Sheria gani ya nchi inaruhusu wavuta bangi watekwe na kuteswa?

Ukiona mtu anatekwa na kuteswa na watuhumiwa hawakamatwi,basi hata wewe mnywa juice ya maembe upo hatarini.
 
Back
Top Bottom