Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Mkeo kashajifungua au bado mjamzito?Mbaga wewe ni ndugu yangu ila unaniudhi sana unapoitetea ccm na madudu yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkeo kashajifungua au bado mjamzito?Mbaga wewe ni ndugu yangu ila unaniudhi sana unapoitetea ccm na madudu yake.
Njoo nawewe niku pregnate kama unamuonea wivu.Mkeo kashajifungua au bado mjamzito?
Hariika iki uthekaniiPost. zako nyingi ni za kuitetea ccm hata ujingaujinga ndio maana sioni kama una dhamira ya dhati kumuonea huruma huyo mhanga wa utekwaji.
MIMI ndio nilimjaza huo ujauzito Wewe endelea kulea Watoto wa wanaume wenzioNjoo nawewe niku pregnate kama unamuonea wivu.
Mm sijawahi kushabikia chama chcht.Post. zako nyingi ni za kuitetea ccm hata ujingaujinga ndio maana sioni kama una dhamira ya dhati kumuonea huruma huyo mhanga wa utekwaji.
🙏Baba katika jina la Yesu, tunashukuru kwa kudhihirisha ukuu wako, kupitia kwa Edgar. Na ukamponye majeraha yake, arudi kwa familia yake.
Baba uende ukamuaibishe shetani na kazi zake. Kila aliyeshiriki katika mateso ya Edgar, ukashughulike naye yeye na vizazi vyake vyote. Amen🙏
Nakufananisha na yule msauzi wa gym. Case closedMIMI ndio nilimjaza huo ujauzito Wewe endelea kulea Watoto wa wanaume wenzio
Baba katika jina la Yesu, tunashukuru kwa kudhihirisha ukuu wako, kupitia kwa Edgar. Na ukamponye majeraha yake, arudi kwa familia yake.
Baba uende ukamuaibishe shetani na kazi zake. Kila aliyeshiriki katika mateso ya Edgar, ukashughulike naye yeye na vizazi vyake vyote. Amen🙏
Mm sijawahi kushabikia chama chcht.
Ila hua sipendi watu kuleta siasa kwenye mambo kama haya, angalia sasa hv kuna uzi humu JF ety Chadema ndio wako mahakamani kudai haki ya jamaa, hayo ndo mambo sipendi (sio sipendi haki ila sipendi vile Chadema wanategemea trending kujiendesha.
Sina chama wala cjawah kupiga kura.
tukumbuke pia kuwaombea wanaopambania uhai wao mahospitalini kwa namna mbalimbali kwa muda mrefu, wawe na Imani kwa Mungu na wasikate Tamaa ...Mtanzania mwenzetu Sativa yuko hoi kitandani akipambania uhai wake. Mungu ni Mkuu amempa nguvu ya kutoka msituni mahali alipotupwa na kufika barabarani. Huo ni muujiza na hapo kuna kitu Mungu alitaka kuwafunulia Watanzania na Ulimwengu kwa ujumla.
Mawasiliano ya simu ya Sativa yataeleza kila kitu ikiwa wakuu watataka kufuatilia na kuhakikisha watesi wa Sativa wanatiwa nguvuni. Ila kuanzia tarehe ya kupotea kwake hadi leo hii watu wapo kimya.
Kwa kuwa hatuwajui watesi wake, basi tumuombe Mungu wake ampambanie uhai wake na pia awashughulikie watesi wake.
Utu
Nimewasemea Chadema mana wao ndio kawaida yao hy..kwani nani kawazuia Ccm, Cuf, Tlp, kumtetea jamaa?
..Je, huoni ajabu kwamba ktk matukio kama haya, wanaobeza wahanga, ndio walewale wanaotetea Ccm?
Ndio maana nimekugongea mkeo.Nakufananisha na yule msauzi wa gym. Case closed
Neno moja linaweza kua na maana nyingi,acha kukariri.Mibange aliyoivuta na stimu za kulanduka ndio imemfikisha alipofika, Wewe google Neno 'Sativa' alafu nenda upande wa Picha ndio utanielewa namaanisha nini ni mibange
Nimewasemea Chadema mana wao ndio kawaida yao hy
Nipe maana nyingine ya mibange unayoijua Wewe Bange Ina maana gani nyingine?Neno moja linaweza kua na maana nyingi,acha kukariri.
Mwambieni dogo aache mibange..sawa.
..lakini mbona Ccm na mashabiki wao ndio wako mstari wa mbele kuwabeza wahanga?
..Ccm wana maslahi gani na wahanga kunyimwa haki?
Sasa wewe nani kakwambia kua hilo jina lazima likatafsiriwe huko kwenye bangi?Nipe maana nyingine ya mibange unayoijua Wewe Bange Ina maana gani nyingine?
Bangi ndio imemfanya atekwe na kuteswa? Wote waliotekwa ni wavuta bangi? Sheria gani ya nchi inaruhusu wavuta bangi watekwe na kuteswa?Mwambieni dogo aache mibange