Maombi maalumu kufanywa na raia wa Afrika Kusini kwa ajili ya Israel

Hao Israel fake siyo wa kwenye biblia kwa sababu wanatukuza ushoga na uuwaji watu wasio na hatia. Mungu hawezi kuwa upande wa mashoga labda shetani/ibilisi.

Mbona wa kwenye biblia walifanya maovu mengi au wewe biblia yako inasomekaje
 
Mungu wa Israel ana nguvu kuzidi hao wengine
Mungu wa hao Israel ni tofauti na Mungu wa wakristo. Kwa wakristo YESU ndiye Mungu ilihali Israel na wayahudi wote duniani wanadai kuwa YESU SI Mungu! Meaning wana Mungu tofauti na wakristo.

Sasa je kwa maini yako ni kweli Mungu wa Israel ana nguvu kuliko Mungu wa wakristo?

Cc: Proved
 
Hundreds of South African Christians are expected to gather in significant towns nationwide next Sunday to offer prayers for both South Africa and Israel.
Kingine wanaoomba ni wakristo waliopo South Africa na sio South Africans wote. Kumbuka msimamo wa South Africa kama nchi ni side ya Palestine na hawajawahi support Israelites.

So usipotoshe watu humu, majority of South Africans hawawezi unga mkono Israel sababu waliwapa silaha makaburu kuua watu weusi.
 
Kupinga kwamba Israel syio taifa pekee teule la Mungu, kwahitaji uwe jasiri na mwenye shingo ngumu hata kama mambo yaliyowahi na yanayotokea na yatakayoendelea kutokea ujifanye huyaoni na huyajui
Mimi napinga mkuu, uteule according to the bible ni kwa wale waliomfuata Yesu kristo. Sasa mtu kamkataa Yesu anakuaje mteule?
Kumbe, ni kule tu kujitia moyo kwamba, wanaweza, huku wakijua kabisa, nguvu na utisho wa jina Israel na Wayahudi, nguvu hiyo haitokani na wenyewe, bali ni yulee..! Mungu wao wa kweli, mwenye kutimiza maagano, ambaye jina lake aitwa! JEHOVAH!
Ni Marekani ndio inawalinda kama unabisha jiulize Hitler alipowachinja mbona walikufa kama kuku? Ottoman Empire mbona aliwanyoosha, hata 1st and 2nd crusade walikufa kama kuku. So issue sio Mungu, Mungu ni wa wote sio exclusively tu kwa Israel. Kwamba wanaokufa wote hawa Afrika hawana Mungu? Wakristo wanaopigwa mabomu makanisani hawana Mungu? Acheni kufuru za ajabu.
 


Ulitaka waombewe mashoga ??

Israel is the gayest country on earth


https://blogs.timesofisrael.com/israel-is-the-gayest-country-on-earth/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…