Maombi na kazi imeshinda utabiri ya waganga, wachawi, washirikina na wapiga ramli

Kevin85ify

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2019
Posts
2,684
Reaction score
3,429
Kutoka mwaka 2015 Kenya imepiga hatua kadhaa kimaendeleo amabayo kamati ya roho mbaya, wachawi na waganga kutoka kusini hawajafurahia. Ni maombi si uchawi.

i) Kenya imemaliza kupeleka stima kwa asilimia 80% ya wananchi, waganga na waongo bado wanakimbilia mishumaa.

ii) Kenya imejenga km 700 ya SGR, wachawi bado wanapigana na mamba kumaliza km 200 za kwanza kwa miaka mitatu sasa.

iii) Kenya imeweka Nairobi Commuter Rail na kujenga stesheni 15 mpya na kukarabati 20 za kitambo, wapiga ramli bado wanalala.

iv) Kenya imepanua mombasa port na kumaliza berth za kwanza tatu za lamu port, Waganga walishindwa na bagamoyo sasa wamebaki kujenga vibanda vya samaki.

v) Kenya imeongeza zaidi ya km 20,000 ya barabara ya lami, waganga bado wanakimbizana na zeruzeru mitaani.

vi) Kenya imejenga International Airport 2 (Isiolo, Malindi), wapiga ramli bado wanang'ang'ana na zizi la ng'ombe ya mwanza kutoka mwaka 2014.

vii) Kenya imepunguza gharama ya kufanya biashara kwa asilimia 40, wachawi bado wana ongeza vikwazo kwa biashara na kulalamika jinsi wawekezaji wa kimataifa wanapenda Kenya.

viii) Kenya imefanikiwa kuwa ya pili kwa kuuza bidhaa ndani ya COMESA, ikifata Egypt. Wachawi bado wamelala na kuota kuhusu mihogo na maharage.

Ikifika 2029 wachawi wataendelea kuimba wimbo yao,"Tutaipiku Kenya, tuko kwenye take off mode", hapo Kenya itakuwa imeongeza mapato kuzidi mara tatu ya hawa waganga.
 
Kenya maneno meeeengi, tulieni quinine iingie malaria mpone!!

Sisi hatuhangaiki na nyie, Corona inawasumbua, sisi imeshamalizwa na Mwenyezi Mungu!
 
Hehee, we jamaa upo, nilidhani umeshakufa na Corona. Wakenya msipotee sana, tutahisi vibaya.
 
Hehehe wapiga ramli mnaitwa mtie neno, mkiweza msafiri kwa ungo mje myaone, ila muwe makini maana tuna uwezo wa kuwashusha kama huyu alivyodunguliwa

Ndugu zetu wakenya tunawajua vizuri.... tukiweka pembeni kidogo ya maendeleo.

Hamtupi shida. Dawa yenu kuwagongea dada zenu tu na tukishawachoka tunawarudishia.
 
Kutoka mwaka 2015 Kenya imepiga hatua kadhaa kimaendeleo amabayo kamati ya roho mbaya, wachawi na waganga kutoka kusini hawajafurahia. Ni maombi si uchawi.

i) Kenya imemaliza kupeleka stima kwa asilimia 80% ya wananchi, waganga na waongo bado wanakimbilia mishumaa.

ii) Kenya imejenga km 700 ya SGR, wachawi bado wanapigana na mamba kumaliza km 200 za kwanza kwa miaka mitatu sasa.

iii) Kenya imeweka Nairobi Commuter Rail na kujenga stesheni 15 mpya na kukarabati 20 za kitambo, wapiga ramli bado wanalala.

iv) Kenya imepanua mombasa port na kumaliza berth za kwanza tatu za lamu port, Waganga walishindwa na bagamoyo sasa wamebaki kujenga vibanda vya samaki.

v) Kenya imeongeza zaidi ya km 20,000 ya barabara ya lami, waganga bado wanakimbizana na zeruzeru mitaani.

vi) Kenya imejenga International Airport 2 (Isiolo, Malindi), wapiga ramli bado wanang'ang'ana na zizi la ng'ombe ya mwanza kutoka mwaka 2014.

vii) Kenya imepunguza gharama ya kufanya biashara kwa asilimia 40, wachawi bado wana ongeza vikwazo kwa biashara na kulalamika jinsi wawekezaji wa kimataifa wanapenda Kenya.

viii) Kenya imefanikiwa kuwa ya pili kwa kuuza bidhaa ndani ya COMESA, ikifata Egypt. Wachawi bado wamelala na kuota kuhusu mihogo na maharage.

Ikifika 2029 wachawi wataendelea kuimba wimbo yao,"Tutaipiku Kenya, tuko kwenye take off mode", hapo Kenya itakuwa imeongeza mapato kuzidi mara tatu ya hawa waganga.
Unajidhalilisha
 
Unaizungumzia ile tuk tuk inayofuka Moshi?
Ndio hii hapa Mkuu 😁
images (9).jpg
 
i) Kenya imemaliza kupeleka stima kwa asilimia 80% ya wananchi, waganga na waongo bado wanakimbilia mishumaa.
Huijui Tanzania ya sasa,unaandika kwa kujifurahisha,juzi tu tumeona Nairobi hakuna maji Wala umeme
Tatizo waropokaji wengi hamuijiui Tanzania,mnalishwa matango pori
Muulizeni MK254 analeta mirungi huku anaijua Tanzania ya 2020 si ya 2015 na inakimbia sana
 
Kenya imejenga km 700 ya SGR, wachawi bado wanapigana na mamba kumaliza km 200 za kwanza kwa miaka mitatu sasa.
SGR ya Kenya Ni ya mkopo chechefu toka China halafu inatumia kerosene,sisi tunajenga kwa pesa yetu na inatumia umeme
Sgr ya Kenya imefeli kwa kukosa soko na gharama za uendeshaji zipo juu mno na unalijua hilo
 
Kenya imeweka Nairobi Commuter Rail na kujenga stesheni 15 mpya na kukarabati 20 za kitambo, wapiga ramli bado wanalala.
Sisi tunajenga DART kuzunguka mji mzima,90% inapata maji ya Bomba ya kutosha,umeme haukatiki na ukikatika ndani ya 10 minutes unarudi
Nairobi hakuna maji mnakunya kwenye mifuko
 
Kenya imepanua mombasa port na kumaliza berth za kwanza tatu za lamu port, Waganga walishindwa na bagamoyo sasa wamebaki kujenga vibanda vya samaki.
Tunapanua Dar Port kwa kuongeza kina na na berth zingine,pia mtwara na tanga zipo kwenye ukarabati tayari kuhudumia SGR
Tumefufua reli ya Tanga,Moshi,Arusha kwa ajili ya bandari ya Tanga
 
barabara ya lami, waganga bado wanakimbizana na zeruzeru mitaani.
Sasa hivi unaweza kutoka bukoba mpaka mtwara kwa taxi,tumeshasahau mashimo,upo I'll informed kuhusu barabara za Tanzania,mpaka vijijini Kuna lami,Kenya Ni Nairobi tu
 
vi) Kenya imejenga International Airport 2 (Isiolo, Malindi), wapiga ramli bado wanang'ang'ana na zizi la ng'ombe ya mwanza kutoka mwaka 2014.
Unachekesha sana,njoo uone Terminal
III,Ni moja ya viwanja vitano Bora sana duniani.Isiolo atakwenda Nani huko
 
vii) Kenya imepunguza gharama ya kufanya biashara kwa asilimia 40, wachawi bado wana ongeza vikwazo kwa biashara na kulalamika jinsi wawekezaji wa kimataifa wanapenda Kenya.

viii) Kenya imefanikiwa kuwa ya pili kwa kuuza bidhaa ndani ya COMESA, ikifata Egypt. Wachawi bado wamelala na kuota kuhusu mihogo na maharage.
Achana na statistics za kupika,hizo bidhaa unamuuzia Nani huko comesa wakati hata chakula huna
 
Ikifika 2029 wachawi wataendelea kuimba wimbo yao,"Tutaipiku Kenya, tuko kwenye take off mode", hapo Kenya itakuwa imeongeza mapato kuzidi mara tatu ya hawa waganga.
Mapato utaongezaje kwa lockdown hii?
 
Back
Top Bottom