Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bomba mbili bado kuunganishwa kwenye Grid tangu mbeberu kutoka Tz.Huijui Tanzania ya sasa,unaandika kwa kujifurahisha,juzi tu tumeona Nairobi hakuna maji Wala umeme
Tatizo waropokaji wengi hamuijiui Tanzania,mnalishwa matango pori
Muulizeni MK254 analeta mirungi huku anaijua Tanzania ya 2020 si ya 2015 na inakimbia sana
Unaona mnavyo penda uongo. Tanzania ya sahi afadhali hata ya mkapa alikuwa na maono, hii ni ovyo kabisa.Huijui Tanzania ya sasa,unaandika kwa kujifurahisha,juzi tu tumeona Nairobi hakuna maji Wala umeme
Tatizo waropokaji wengi hamuijiui Tanzania,mnalishwa matango pori
Muulizeni MK254 analeta mirungi huku anaijua Tanzania ya 2020 si ya 2015 na inakimbia sana
Hivi unawezaje kuzungumzia ukubwa wa Tanzania na ule ukubwa wa mkoa wa Arusha(Kenya?)Unaona mnavyo penda uongo. Tanzania ya sahi afadhali hata ya mkapa alikuwa na maono, hii ni ovyo kabisa.
i) sgr imekwama phase 1(km 200), sababu zimekuwa mvua, mamba na sasa mturuki amefilisika. Kenya ilimaliza km 500 kwa miaka hiyo tatu imewachukua kueka km 100.
ii) Mulishindwa kumlipa mchina mwenye alikuwa atengeneze terminal ya mwanza airport, bado anawadai kutoka 2014. Mwanza airport imebaki tu ile zizi la ngombe. Hivi sasa kwa miaka 6 imekwama kwenye msingi.
iii) Dar port upanuzi yake imechukuwa mdaa sana na hata hiyo tanga. Kwa sasa hata mushikanishe port zote za Tanzania mombasa port bado ni kubwa kuziliko zote. Dar ambayo ndiyo kubwa Tanzania inaweza handle 600,00 teus pekee.
iv) Tanzania stima ni asilimia 40 ndio wako nayo, wengine kazi ni mishumaa na kuni.
v) Nchi yenyu iko na watu wengi kushinda Kenya lakini stima mnazalisha ni kama Uganda.
vi) Kile tanzania inashindia Kenya ni kuzaana tu. elimu, biashara etc hamjui, hata nchi ndogo kama Rwanda wanaskika kimataifa kuliko Tanzania
Nenda katafute mwingine wa kudanganya sio mimi. Naijua Tanzania vizuri. Hata dar yenyewe hapo TPA towers ni uchafu tu, vibanda vimejaa mpaka kati kati ya mji.
Habari hii hapa chini. Kenya ndiyo inaongoza eac kwa kuexport na ni ya pili katika comesa. Hujui comesa kwa sababu Tanzania haiko ndani ya comesa.
Kenya second-largest exporter of goods within Comesa bloc after